All News Posts Tagged 'saikolojia11' (306)

UKAWA WAWACHANGANYA WANANCHI

Wajumbe wa umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma.

KITENDO cha wajumbe wa umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutoka nje…

Added by GLOBAL on April 19, 2014 at 6:19am — 1 Comment

WEKEZA ELIMU, TABIA NJEMA NA KUJIAMINI KWA MWANAO!

Daima Mungu ni mwema na namshukuru kwa kunikutanisha nanyi wasomaji wangu ambao kimsingi ndio mnaonipa mwanga wa kitu gani cha kuandika kutokana na maswali yenu ya msingi juu ya mambo mbalimbali yanayogusa maisha yetu ya kila siku.

Mpendwa msomaji wangu, nadhani unafahamu kwamba wengi wetu hasa…

Added by GLOBAL on April 18, 2014 at 5:00am — 1 Comment

NAMNA YA KUZUNGUMZA NA ALIYEKUKASIRIKIA

Kwenye maisha kuna nyakati za kutofautiana, kukasirishana. Katika hali ya kawaida kipindi hiki huwa ni cha hatari kwa sababu husababisha nyufa kubwa za uhusiano katika jamii.

Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo, si wote wanaojua wafanye nini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya.

Msomaji wangu, hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mwenzako na ikiwezekana…

Added by GLOBAL on April 17, 2014 at 7:30am — No Comments

JINSI YA KUANZA MAISHA YA KUJITEGEMEA-2

WIKI ya pili sasa nazungumzia mada ya jinsi ya kuanza maisha ya kujitegemea; ni imani yangu kuwa somo hili litawasaidia wengi. Pamoja na mambo mazuri niliyoandika wiki iliyopita, leo nakusudia kumalizia machache juu ya somo hili, ungana nami katika kutazama vipengele…

Added by GLOBAL on April 10, 2014 at 2:00am — No Comments

JE, WAJUA KWAMBA UGUMBA NI UGONJWA KAMA YALIVYO MAGONJWA MENGINE?-3

BADO tunaendelea na mada yetu ya kwamba, ugumba ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine kwa sababu una vyanzo, dalili na tiba zake.

Leo nitamalizia kujadili vyanzo vya tatizo hili la ugumba. Kwanza ni vema japo kwa ufupi nikawakumbusha dalili ambazo mwanamke akiziona katika mwili wake, achukue hatua mapema kwenda kupima afya yake ya uzazi.

Tatizo la mwanamke kuwa na hedhi isiyo bora, yaani hedhi ambayo haina mpangilio maalumu, hedhi nzito kupita kiasi…

Added by GLOBAL on March 31, 2014 at 7:39am — 2 Comments

KUKOPA PESA ILI UFANYE BIASHARA NI SAWA NA KUCHEZA KAMARI ILA...

WENGI tumekuwa tukitamani kuwa wafanyabiashara wakubwa lakini kikwazo kimekuwa ni mtaji. Nimekuwa nikipokea simu nyingi kutoka kwa wasomaji wangu wakieleza kilio chao kwamba wamekuwa wakitamani sana kuanzisha biashara lakini tatizo ni pesa.

Hata pale nilipokuwa nikiwajibu kwamba, njia ya kujipatia fedha kwa ajili ya…

Added by GLOBAL on March 28, 2014 at 2:04am — 1 Comment

KIJIWE CHA MADENTI: USIFANYE HIVI

Mambo vipi maanko. Nina imani mko poa na mambo ya masomo yanaendelea vizuri. Mtakumbuka wiki iliyopita kulikuwa na mchapo ninawaletea kuhusu simulizi aliyonipa jamaa mmoja hivi ambaye aliufanya kipindi hicho akiwa shuleni, huko mikoa ya kusini.

Niliishia pale ambapo yule mshkaji akiwa na wenzake walifanikiwa…

Added by GLOBAL on March 22, 2014 at 8:30am — No Comments

MAMBO 5 YANAYOMKOSESHA BINADAMU FURAHA!

Wiki hii nitazungumzia mambo matano ambayo yamekuwa yakiwakosesha wengi furaha. Katika mambo hayo, yapo ambayo binadamu anaweza kuyaepuka na mengine hata afanye nini lazima yamfike. UMASKINI Umaskini ni kinyume cha neno utajiri.

Vitu hivi viwili havina urafiki kabisa, kila kimoja kinampinga mwenzake na ndiyo…

Added by GLOBAL on March 14, 2014 at 4:00am — No Comments

DHARAU, KUJIONA; CHANZO CHA WENGI KUCHUKIWA MAKAZINI!

Wiki hii nitazungumzia jinsi tabia ya kuwa na dharau inavyowafanya baadhi ya watu kuchukiwa na wafanyakazi wenzao katika sehemu zao za kazi.

Kwa wanaofanya kazi watakubaliana na mimi kwamba, wapo baadhi ya watu katika maeneo yao ya kazi wanachukiwa karibu na kila mtu na kama watakuwepo wanaoelewana nao ni wachache sana. Hali hii huwafanya wawe katika mazingira magumu sana.

Nasema hivyo kwa sababu inapotokea katika sehemu unayofanyia kazi ukawa huna uhusiano mzuri na wafanyakazi…

Added by GLOBAL on March 13, 2014 at 7:30am — No Comments

OYAA, MNAJUA KUNA NINI DOM?

Nianze kwa kuwapa ‘hi’ madenti wote Tanzania nzima, anko wenu nipo katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma kama mmoja wa mashahidi wa nini wale wawakilishi wa makundi mbalimbali ambayo Rais Jakaya Kikwete aliwateua kujumuika pamoja kupitia rasimu ya katiba ili waweze kutengeneza katiba mpya ambayo huenda ni watoto…

Added by GLOBAL on March 1, 2014 at 9:00am — 1 Comment

BILA KUFANYA KAZI UTAMU WA NDOA UTAPATIKANAJE?

WIKI hii nitazungumzia suala la kazi linavyochukuliwa kama kigezo muhimu kwa walio wengi kabla ya kuoa ama kuolewa. Ni kitu cha kawaida mwanaume anapomtamkia msichana kwamba anataka kumuoa, swali la kwanza litakuwa je, unafanya kazi gani?

Licha ya kwamba mara nyingi wanawake ndiyo wamekuwa wa kwanza kudadisi juu ya hilo, sasa hivi baadhi ya wanaume nao huchunguza kwamba wale ambao wamewapenda wanafanya kazi au hawafanyi.

Kwa hali ilivyo sasa, kazi imekuwa ni…

Added by GLOBAL on February 28, 2014 at 9:00am — No Comments

ACHANA NA NDOTO NDOGONDOGO! - 3

WIKI iliyopita nilikomea kwenye kipengele cha kuchagua marafiki wema katika njia yako ya kusaka mafanikio maishani. Nikasema hutakiwa kuambatana na marafiki ambao hakika kazi yao kubwa ni kukuvunja moyo. Hupaswi kabisa. Siku zote chagua watu ambao watakutia moyo na kukuongezea maarifa katika safari yako ya kutimiza hizo ndoto kubwa unazoota.

Siku zote mafanikio ni mipango, ndiyo maana hapa nasisitiza kupanga mambo makubwa maishani mwako ili upate mafanikio makubwa…

Added by GLOBAL on February 27, 2014 at 8:30am — No Comments

TATIZO NI MADENTI AU WATU WAZIMA?-2

Wiki iliyopita, niliweka mada ambayo niliwaomba wasomaji wote wenye nafasi kuchangia maoni yao juu ya kipi hasa kinachosababisha kuwepo kwa wingi kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya wanafunzi (wa msingi, sekondari na vyuo) na watu wazima, ambao tayari ama wana uhusiano na wenza wao ambao siyo wanafunzi, au wameoa…

Added by GLOBAL on February 15, 2014 at 9:16am — No Comments

ACHANA NA NDOTO NDOGONDOGO!

MUNGU yu pamoja nami katika nyakati zote, ngumu na za kawaida. Hakika yeye ndiye nguzo muhimu maishani mwangu. Ahsante baba muumba wa mbingu na nchi kwa rehema na fadhila zako.

Baada ya kusema hayo, naomba niingie moja kwa moja kwenye mada ambayo nimeiandaa  kama inavyosomeka hapo juu.

Kila binadamu mwenye uchu na kiu ya mafanikio, anayo ndoto ambayo kwa namna moja au nyingine amejiwekea ili kufikia mafanikio hayo. Ndoto hiyo ndiyo taa na mwanga…

Added by GLOBAL on February 13, 2014 at 8:00am — No Comments

TATIZO NI MADENTI AU WATU WAZIMA?

NIMEWAHI kukaa zaidi ya miezi sita bila kufika mjini. Wenye jiji lao wanakuambia Dar es Salaam mjini ni maeneo ya Posta, kule kwenye mitaa ya Ohio, Indira Ghandi, Samora, Sokoine, Zanaki, Azikiwe, Magogoni, Garden, Maktaba na kadhalika.

Eti ukisema unaenda au…

Added by GLOBAL on February 8, 2014 at 9:03am — 3 Comments

MADENTI, PICHA ZA UTUPU ZA NINI?

Niwape hi kwa furaha sana wapendwa wasomaji wa safu hii, ingawa zaidi ningependa ziwafikie wanafunzi popote pale gazeti hili linaposomwa. Hawa jamaa ni wadau wangu wakubwa sana, hasa katika kubadilishana mawazo inapobidi.

Juzi nilikuwa naperuziperuzi kwenye mtandao, mara nikakutana na picha za aibu…

Added by GLOBAL on February 1, 2014 at 5:15am — No Comments

TICHA, DENTI ANAJIFANYAJE MJANJA?

Oyaa, mambo niaje madenti?

Ni wikiendi nyingine tena tunakutana mitaa hii kwa ajili ya kupeana mbili tatu za kushtuana wakati huu ambao wote tunalisongesha gurudumu la maendeleo ya taifa letu. Kuna watu wengine wanafikiri wanafunzi hawana mchango kwa taifa hili, siyo…

Added by GLOBAL on January 25, 2014 at 6:33am — 1 Comment

USICHANGANYIKIWE UNAPOPATA MATATIZO, PAMBANA NAYO!

NI wazi kwamba binadamu tunatofautiana katika namna tunavyoyapokea matatizo pale yanapotukabili, lakini baadhi ya watu wanapitiliza katika namna wanavyoyapokea kwani huingia katika hali ya kuona kwamba dunia ni mbaya na maisha ni yenye upendeleo.

Utakuta mtu anashindwa kuyaangalia matatizo hayo kwa umakini na kuyakubali kisha kuangalia uwezekano wa kuyatatua hali ambayo huweza kusababisha tatizo kuzidi kuwa kubwa.

Katika maisha tunapoingia katika hali kama hii…

Added by GLOBAL on January 24, 2014 at 7:30am — No Comments

MISELE YA NEW YEAR ILINIBOA

WIKIENDI nyingine tena tunakutana hapa katika kijiwe chetu, ambacho mara kwa mara tunakumbushana, kuelekezana na hata kunyoosheana vidole, ili mradi lengo letu ni kwamba mwisho wa siku, wote tunaondoka na elimu kidogo, wewe kwa kupitia andiko hili, mimi kupitia maoni yako.

Basi bwana, nilikuwa…

Added by GLOBAL on January 18, 2014 at 4:30am — No Comments

MWEZI HUU TUTAKOPANA SANA LAKINI….

MAISHA yako siku zote ni jinsi unavyotaka yawe. Ukitaka kuishi maisha mazuri hakuna kipingamizi lakini pia ukitaka kuishi maisha ya kimaskini utaishi tu. Kutokana na lengo hasa la safu hii, nimekuwa nikipokea maswali mbalimbali kutoka kwa wasomaji wangu.

Baadhi wakiuliza namna wanavyoweza kujikwamua kimaisha, wengine wakiuliza ni kwa vipi wanaweza kuondokana na tabia ambazo hazikubaliki katika jamii. Mara nyingi nimekuwa nikijibu maswali yenu kwa njia ya kuandika…

Added by GLOBAL on January 17, 2014 at 1:59am — No Comments

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by Kasharu Martin on Tuesday. 2 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Egbert Chogo Feb 10. 5 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Kasharu Martin on Tuesday. 7 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by Mohammed Nasser Abdullah Mar 19. 6 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Joyce Moses Oct 1, 2013. 4 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa Jun 20, 2013. 0 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

Latest Activity

misu babu posted a status
4 minutes ago
dtsi100 posted a status
"Stormers vs Lions Live Online http://j.mp/1jinkzE"
7 minutes ago
sonabanbibi posted a status
11 minutes ago
dtsi100 posted a status
11 minutes ago
misu babu posted a status
13 minutes ago
GLOBAL's 12 blog posts were featured
13 minutes ago
GLOBAL posted blog posts
14 minutes ago
erander posted a status
20 minutes ago
erander posted a status
21 minutes ago
anilahsan posted a status
26 minutes ago
Rehema Edward joined DESY ERINEST's group
27 minutes ago
Ben liked GLOBAL's blog post JOKATE: SIJAPIGA PICHA ZA UTUPU
27 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service