Katika hali ya kustaajabisha, maiti za watoto wanaokadiriwa kuwa na umri wa siku moja au zaidi, zinazofikia idadi ya 11, zimefukuliwa katika shimo moja, jirani na maeneo ya hospitali ya Mwananyamala mcha wa leo!!. Tukio hilo limevuta hisia za watu wengi eneo hilo na kustaajabisha watu wengi.

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by AMINI MTWEVE on September 11, 2011 at 5:06pm
hii ni hatari sana yaani sijui tunapokwenda sasa.....!!!!!!!
Comment by Rest Ancelim Mkinga on July 30, 2011 at 10:42am

Duh! mna roho ngumu sana, mliotupa hivyo vitoto na nyie wamama mlioacha maiti za wana wenu Hospital mlitarajia zizikweje?

 

Comment by jack dick on June 11, 2011 at 4:19pm
jamani hiv ni nini 2 nyeye wanawake mnao 2pa watoto huwezi jua yamkini umem2pa rais
Comment by Peter Kashaga on May 31, 2011 at 3:42pm
Inatisha sana
Comment by Sebastian Salatiel Shemhilu on March 22, 2011 at 3:29pm
NI UKATILI WA HALI YA JUU  JAMAN
Comment by Theddy Jacob on March 11, 2011 at 12:36pm
mmmh mwananyamala hsp inatisha hivi kwanini wanasemaga polisi wananjaa ya hela? wakati hata madaktari na manesi wanaolipwa malaki na mamilioni wanathubutu unyama kama huo. Mungu ailaze pema roho za hao watoto. Kila mtu atavuna alichokipanda hii ni dunia tunapita.
Comment by Sarah on February 2, 2011 at 1:55am

HOSPITALI NDIO WAMEUWA WATOTO HAO. NAOMBA MUNGU WOTE AMBAYE WANAFANYA KAZI KWENYE SEHEMU KUZALISHA WATOTO WAKAMATWE.. AWE MADAKTARI NA MANERSI .. THEY KNOW WHATS HAPPEND FOR REALLY

Comment by ɹǝןןǝʌɐɹʇ on February 2, 2011 at 1:15am

HUU NI USHENZI

Comment by ɹǝןןǝʌɐɹʇ on February 2, 2011 at 1:14am
Is this kind of a joke? Mkuu wa polisi amesema chochote? Serikali iweke sheria maalumu ya kulinda haki za watoto. Inaonekana hii si kazi ya mtu mmoja tena ni watu ambao aidha ni wafanyikazi wa hospitali au wenye mamlaka fulani. Lazima waziri wa afya ajieleze!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Comment by azda mohd on February 1, 2011 at 2:50pm
hivi mbona kila siku Mwananyamala tu kuna nini? hebu chunguzeni kwa makini


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
10 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
10 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website