STORI; SHAKOOR JONGO
Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper ‘Amber Rose wa Bongo’ amefunguka kwamba kwa kile alichokiona, hayuko tayari kukubali tena kuhongwa gari na mwanaume ili atoe penzi.
Akipiga stori na gazeti hili Wolper alidai kuwa, anafikia hatua ya kusema hivyo kwa kuwa madhara yake ameshayaona na kwamba sasa anapambana kuhakikisha anajimilikisha vya kwake.
“Unajua kwa nini nasema hivyo? Tayari nina ushahidi wa kutosha kuhusu magari ya kuhongwa, ni kudhalilishwa tu hapa mjini, mbaya zaidi mwanaume mwenyewe akikuacha wewe anahamia kwa shoga yako kisha anampa ile gari uliyokuwa ukitembelea, sasa kama si kudhalilika ni nini?” alihoji Wolper.
Siku za nyuma muigizaji huyo alidaiwa kuhongwa gari na jamaa mmoja ambaye yeye alidai ni mjomba wake na pia juzikati msanii mwenzake, Wema Sepetu alidaiwa kupokonywa gari ya mwanaume na kuachwa akitembea kwa miguu.
Comment
Comment by mohamed saadan on March 29, 2012 at 2:47pm we toa tuuuuuuuuu si unataka umaarufu hapa mjini na uonekane kwa wachaga wenzio kuwa wewe mjanja.hivi nyie wasanii wa BONGO sidhani hata kama maumbile yenu yako kama mwanamke atakiwavyo kuwa.MAANA KILA KIKICHA KILA SIZE so utakuwa na maumbile ya mazuri kweli?
Comment by Goko on March 29, 2012 at 9:09am Ndugu yangu bure ulivyoamka kuliko kefedheheka.
Comment by S. Arthur on March 29, 2012 at 12:33am Nyie tu niwa kupigwa ma gari bada ya kuliwa ngoma.
Comment by pjoan audes on March 28, 2012 at 5:27pm Hivi ni ulimbukeni au ni upumbavu?? kuhonga gari eti kwaajili ya penzi!! hivi wanaume wa namna hiyo wapo kweli? na kama wapo si wangehonga mayatima na walemavu walio kwenye uhitaji wa kweli? tena huko kuna warembo kuliko hawa waliokwishajua vipodozi!
tamaa zenu hizo nani akahonga gari dunia hii ya sasa mnaazimwa si kuhongwa kama ni k vocha peke yake mnavuwa chupi
Comment by Sir.Njau on March 27, 2012 at 3:46pm dada yangu jitahid kushinda starehe za kuazima jitahid kutafuta chako utakiheshimu na utaheshimika
Comment by DORAH FREDY on March 26, 2012 at 2:29pm Unataka gari eeeeh vya bure vinauwa kwisha habari yenu
Comment by chalz on March 26, 2012 at 11:33am
Comment by Mohamed on March 25, 2012 at 10:16pm we wolper unatoa tu. gari kubwa ivyo
Comment by meggie impostra on March 25, 2012 at 1:38pm kbsaaaa wamwhazimwaaaaa na sio kuhongwaaaa polenii kwa ujinga wenu kutka vya urahisi nA vya kupewa bila kujua vilitafutwaje ndio madhara yake hayooo
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
LJH_3 |
| 4 |
julius manning |
| 5 |
Tatu Majaliwa |
| 6 |
hope |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
Mishy chunga |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
WAKALI HAWA WA HIP HOP KUFANYA MAKAMUZI YA HATARI DAR LIVE J'MOSI HII Wasanii wanaotamba…
See More© 2013 Created by Global Publishers.




You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers