Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul  ‘Diamond’ (pichani) na Miss Tanzania 2006-07 ambaye pia ni msanii wa filamu Bongo, Wema Isack Sepetu hivi karibuni wamenaswa wakichezeana kimahaba.

Picha ya wawili hao ambao wanadaiwa ni ‘lovers’ ilinaswa mtandaoni huku ikimuonesha Wema akiwa amemlalia kifuani Diamond kwa staili ya kudeka.
Aidha, picha hiyo inamuonesha Diamond akiwa ameingiza kidole chake kwenye sikio la Wema, hali iliyomfanya mlimbwende huyo apate msisimko na kujikuta akisinzia.

Baadhi ya wadau walioiona picha hiyo walisifia muonekano wa wawili hao huku wakisema kuwa, wana vigezo vya kuwa Mr. na Mrs.
“Wamependezana si utani, wana kila kigezo cha kuwa mke na mume ila wasiwasi wangu ni kama watadumu, Wema amekuwa hatulii na mwanaume mmoja kwa muda mrefu labda kama sasa kaoza kwa Sharabaro,” alisema Miriam wa Sinza jijini Dar es Salaam.

Wema na Diamond wanatajwa kuwa ni wapenzi ambao wamekuwa wakionekana sehemu mbalimbali wakijiachia kwa raha zao. 

Views: 1287

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Nobert Richard on May 18, 2011 at 11:58pm
Kilaki2 kina wakatiwake so wacheni wa2mie wakati wao kwan wakati ukipita umepita kwan duniani wengine 2mekuja kufanya stalehe nakupta ha2jaja kupamba dunia.
Comment by charl tito on March 31, 2011 at 6:29pm
kwa kweli mmapendeza sana kwa hilo pozi mngeoana kabisa
Comment by babjoga anatol on March 31, 2011 at 11:41am
ngoma, ngoma,ngoma uwiiiii!!!!!
Comment by JUMA MWINYI on March 30, 2011 at 1:36pm
kijana wewe sio
Comment by asiamnyika on March 30, 2011 at 11:40am
wema mrembo ucmwache dimond maneno yapo 2 hakuna m2 asie semwa duniani
Comment by Shedrack m msemo on March 28, 2011 at 8:37pm
Yote maisha demu yuko makini sana big up dogo
Comment by Gervas Daniel Nyalusi on March 28, 2011 at 7:04pm
sasa ni bora ubebe kabisa
Comment by Athumani mdee on March 28, 2011 at 4:30pm
au hataki kupona
Comment by Athumani mdee on March 28, 2011 at 4:30pm
au hamtaki kupona
Comment by Athumani mdee on March 28, 2011 at 4:28pm
hata km hajapima babu siyupo

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }