Na Richard Bukos
STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kunaswa akiwa katika mikao ya ajabuajabu na mwanaume ‘tata’ maarufu kwa jina la Anti Bilal Mashauz.
Wema akiwa na Anti Bilal Mashauz.
Ishu hiyo ilipigwa chabo na paparazi wetu Alhamisi iliyopita kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar ambapo wawili hao walikwenda kusikiliza kesi ya msanii mwenzao, Kajala Masanja.
Wema na Anti Bilal, walinaswa viwanjani hapo wakirukiana ambapo Anti Bilal alionesha mapozi kama ya kike, kitendo ambacho kiliwakera baadhi ya Maustaadh waliofika mahakamani hapo kusikiliza kesi ya Shehe Ponda Issa Ponda.
Wawili hao walianza kujishebedua kwa kuchezeana ambapo Wema alionekana kushikana mashavu ya Anti Bilal ambaye alikuwa amemlegezea macho mrembo huyo.
“Mambo wanayofanya hapa siyo mahali pake, hivi hawaoni aibu kushikana vile mbele za watu?” alihoji mmoja wa mashuhuda.
Comment
Comment by Halima Kimoto on January 2, 2013 at 1:44pm Wajaalana wamelaanika hao achaneni nao kwani ni Finar Jahanam.
Comment by Mashaka Magezi on December 29, 2012 at 9:18pm Huo ni ushetani, mungu awanusuru na atunusuru sote.
Comment by Ainess Willy on December 20, 2012 at 4:24pm du na jamaa bana kweli hamnazo yani linapumuliwa kisogo kweli na maman wenzake huyu kweli wange mweka ndani kabisa wafungwa wakafaidi wasiwe wana toka na nyege gerezani tena
Pole kwa tumbo alilolala binti huyu. Mungu tuokoe na vizazi vyetu.
Comment by julius manning on December 12, 2012 at 8:46pm siku nyingi mlikuwa hamjamuandika na ndo mmeanza
Comment by Matilda Alphonce Mgalula on December 11, 2012 at 3:03pm jamani hivi Wema ni mkichaaa(huo mkorogo sasa umezidi yaaani miguu yenyewe ilivyo kama fimbo za pool table)aache mkorogo ili apendeze kama mwanzoni )AU ASIVAE NGUO FUPI
Wote akili zao ni mbaya hivyo aibu hawana
HUYO SHOGA MAARUFU SI MNGEMWEKA NDANI TU?
Comment by Matilanga Lukingita on December 9, 2012 at 10:26am Ila huo mkorogo dada Wema umekubali. Hadi miguuni!! Mambo ya kumeza vidonge hayo. Upata ajali kushona huo mwili kazi kweli
Comment by meggie impostra on December 8, 2012 at 9:59am sasa mmeishasema anti bilali means alikuwa na mwanamke m,wenzake kuna ubaya ganiiii
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
hope |
| 6 |
Tatu Majaliwa |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
Mishy chunga |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE yesterday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
tina babi left a comment for robert brown colour
tina babi left a comment for jurais sambe ikusi
tina babi left a comment for moses zahuye
tina babi left a comment for jonathan enock
tina babi left a comment for khatib mohamed umeya
tina babi left a comment for ALBERT
tina babi left a comment for godwin e nyange
tina babi left a comment for BROWN MAJALIWA
tina babi left a comment for Wilbert Maridadi R.
tina babi left a comment for Moses Rugemalila
tina babi left a comment for adorn nyang'ango
tina babi left a comment for Fadhily Mwakajila© 2013 Created by Global Publishers.




You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers