Isha Mashauzi akiwa na tuzo ya Wimbo Bora wa taarab.
Queen Darin akiwashukuru mashabiki waliompigia kura.
Ally Kiba akiwashukuru mashabiki waliompigia kura.
Kiongozi wa African Stars, Luiza Mbutu (katikati), akiwa na tuzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili.
Diamond na Ommy Dimpozi wakikamua.
Msanii wa filamu, Shilole akipozi mbele ya kamera.
Diamond akipozi kupiga picha na mama yake.
Mmoja wa akina dada walioudhuria hafla hiyo akihojiwa na mwandishi wa habari.
Diamond akipozi na shabiki wake.
Ally Kiba akielekezwa sehemu ya kukaa.
Wanamitindo Asia Irdaous (kushoto) na Ally Rehmtullah.
Salma Jabu 'Nisha' akiwa na Flora Mvungi.
Shabiki wa muziki akifuatilia utoaji tuzo huo.
H. Baba na mchumba wake Flora Mvungi.
Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo ulijaa shangwe na vifijo wakati wanamuziki wa Bongo walipokuwa wakitunukiwa zawadi za umahiri wa sanaa hiyo zijulikanazo kama KILI MUSIC AWARDS 2012.
(PICHA NA ISSA MNALLY/GPL)
Comment
Thumbs up!
Comment by VUVUZELA ZELA on April 16, 2012 at 1:08pm MJARIBU KUTUMIA NGUO ZINAZOLINGANA NA MAUMBO YENU !!!
Comment by Mtanganyika Masalia on April 16, 2012 at 12:58pm haya bwana hakunaga la kusemaga
Comment by Devotha Meena on April 15, 2012 at 1:59pm Hongera Wasanii wote waliopata tuzo natumaini Watanzania wamefanya kweli bila zengwe. Binafsi nimeridhika na uteuzi wa waliochaguliwa KWELI WANASTAHILI KUPOKEA TUZO "BIG UP AND KEEPIT UP"
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
Tatu Majaliwa |
| 6 |
hope |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
tina babi |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.





You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers