Stori: Richard Bukos
VUGUVUGU la kesi ya Kiongozi wa Jumuiya za Kiisalam, Sheikh Ponda Issa Ponda linaendelea kufukuta na watu wengine wametiwa mbaroni kwa kuhusishwa na uvunjifu wa amani.
Tukio hilo limetokea Februari 18, mwaka huu  nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo Sheikh Ponda alifikishwa mahakamani hapo.
Wakati Sheikh Ponda akiingizwa kwenye chumba cha mahakama baadhi ya wafuasi wake walitaka kuingia, wakazuiwa jambo lililowakera na kuanza kufanya vurugu.
Jeshi la Polisi liliwatia mbaroni baadhi yao huku wengine wakiambiwa watawanyike na askari aliyekuwa akitumia kipaza sauti.
“Tunawaomba wote mliofika kwa ajili ya kesi ya Ponda mtawanyike kwa amani, kwani kesi hiyo imeshamalizwa,” alisikika mmoja wa maofisa wa polisi.
Hata hivyo, hakuna uharibifu wowote uliotokea kutoaka na vurugu hizo.
Kesi ya Sheikh Issa Ponda ilitarajiwa kutajwa tena Februari 19, (jana) katika mahakama hiyo.

Views: 794

Tags: mchanganyiko11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by richardngeze on March 5, 2013 at 10:04am

Nimeipenda sana hiyo Tanganyika jeki aliyokandamizwa huyu jamaa manake afande nusura aguse kinyesi!

Comment by busimba on February 21, 2013 at 7:32am

Tatu umesema vema, waache mambo ya kishetani kabisa.

Comment by julius manning on February 20, 2013 at 8:45pm

kuzaa si kazi kazi kulea

Comment by cathy josephy on February 20, 2013 at 1:05pm

wao wanatumia kiberiti na kumwaga damu za wenzao sisi tunaagiza moto kutoka mbinguni kuteketeza mapepo yao Mungu wetu ni mwema sana daima atatulinda kamwe hatutakata tamaa

Comment by tatu said on February 20, 2013 at 12:15pm

tunasubir sheria itakavyosema.jaman waislam wenzangu 2ache fojo ziczokuwa na maana tuache mahakama ifanye kazi yake.

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson on Friday. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson yesterday. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson on Thursday. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson on Friday. 45 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson on Friday. 74 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson on Saturday. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson on Sunday. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson on Monday. 21 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service