Na Richard Bukos
Harusi ya Mtangazaji maarufu wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’  na mchumba wake wa muda mrefu, Gervas Mbwiga imeripotiwa kujaa vituko vya kila aina, Ijumaa lina dokezo chache.

MZEE YUSUF AMWITA DIDA WA MCHOPS
Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuph, aliwaacha watu midomo wazi baada ya kupewa nafasi ya kuongea mawili matatu kabla ya kutumbuiza ambapo alipitiwa na kumuita Bi harusi kwa jina la Dida wa Mchops (Mumewe wa zamani) badala ya Dida wa G.

ISHA MASHAUZI
APALIWA NA MSOSI
Mwanadada anayetisha na Kundi lake la Taarab la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’ (pichani) wakati akila alijikuta akipaliwa kimtindo, hali iliyomkosesha raha kwa muda lakini baadaye alirudi kuwa ‘nomo’.

Views: 5949

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by sheshi beshi on January 5, 2012 at 5:11pm

bwahahahahahahaha

Comment by interpol on July 27, 2011 at 8:32pm
Mbona sahani mkononi? au hata meza zilikua hakuna?!
Comment by kysimkok Tall on July 27, 2011 at 1:15am
Pampafuu huyu mamaa
Comment by Rose on July 26, 2011 at 11:39am
Sasa wewe dada yangu na huo mwili wote alafu umejaza sosege na nyama si utakufa na pressure mhh punguza vitu vya mafuta???????
Comment by Rest Ancelim Mkinga on July 26, 2011 at 11:31am
Mijiziwa umemuachia nani nje, mwone domo kubwaaa
Comment by fridolin nanyanje on July 26, 2011 at 11:12am
angekuwa tunda ni makasamala
Comment by Khalid Japhary GOMEKA on July 25, 2011 at 11:48am
Haaa haaaaah ahaaaaaaaaah @William
Comment by William Jotham on July 23, 2011 at 10:02pm
Duh huyu si Zena wa kwenye Sani!!!!!!!!! mwili utadhani kiroba cha pamba!!?
Comment by Sarah Anuary on July 23, 2011 at 7:55pm
Isha hebu jistiri kidogo na huo mwili wako na hayo mafutuza mmmmmmmmmm balaaaaaaaaa
Comment by kysimkok Tall on July 22, 2011 at 11:20pm
Tehe tehe tehe...!! huyu dada na miziwa yake ya kichina amesahau kuweka mambo levo.kwakua mziwa huo lakini wowo hamna yaani bonge la pasi....Duh kachemsha

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }