Na mwandishi wetu

IKIWA ni siku chache tangu mumewe, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ alipoondoka Bongo, Irene Pancras Uwoya anadaiwa kudhalilika ukumbini baada ya kigauni kifupi alichotinga kushindwa kumsitiri hivyo ‘kufuli’ lake kuwa nje nje, aya zifuatazo zina undani kamili.

Tukio hilo la kusikitisha lilichukua nafasi ndani ya Ukumbi wa Business Park Kijitonyama, Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo kulikuwa na ‘bethidei’ ya mwaka mmoja ya Klabu ya Bongo Movie.

MAPEDESHEE WAJIPITISHA
‘Shushushu’ wa gazeti hili aliwashuhudia wanaume hasa mapedeshee wakijipitisha mbele ya meza aliyokuwa amekaa Uwoya na mwigizaji mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’.

Hata hivyo, ilielezwa kuwa kilichomponza Uwoya ni kigauni alichovaa kifupi kilichosababisha nguo hiyo ya ndani nyeupe kuonekana kirahisi alipokuwa amekaa.

NENO LA WADAU
“Duh! Mama Krish (Uwoya) katoka bomba lakini kile kigauni kinamdhalilisha, kinaonesha kufuli yake nyeupe.

Ukweli ni kwamba angekuwepo Ndiku (mumewe) asingefanya hivyo kwa sababu angemlindia heshima,” alisema mmoja wa wadau waliomshuhudia staa huyo ambaye muda mwingi alikuwa kimya ukumbini humo.

UWOYA VIPI?
Jitihada za kuzungumza na Uwoya juu ya tukio hilo hazikuzaa matunda kufuatia simu yake kuita bila kupokelewa.

Hivi karibuni Ndiku alitimka Bongo na kwenda kwao Rwanda kujiunga na timu ya Rayon Sports huku akimwacha mkewe huyo na mwanaye Krish.   

Views: 8613

Tags: risasi11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by david martin chotimbao on March 30, 2012 at 12:20pm

KUMBUKA KUWA KUNA KUFA SIJUI NA KABURINI UTAENDELEA NA KATABIA KAKO CHACHAFU! UNATUCHEFUAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Comment by beatrice Thomas Kereth on March 29, 2012 at 3:26pm

Johani nawe umekuwa mbaya yani umeshazeeka.unasubiri nini dada si uolewe sasa hivi nadhani ushafikisha 30's.Na hayo manyonyo mbona moja kubwa na lingine dogo? UWOYA NAE KWISHA HABARI YAKE! UMEKONGOROKA USO WASWAHILI HUSEMA "HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA"

Comment by Marlown Mwaisanila on March 29, 2012 at 2:20pm
a married woman wears lyk that....the earth is a triangle n' not spherical again!!!!
Comment by pjoan audes on March 28, 2012 at 5:30pm

Kwanza ni usiku na pia mpiga picha ndiye mchokonozi kuvizia apige picha uvunguni mwa kiti alichokalia irene!

Comment by grace mirumbe on March 27, 2012 at 4:52pm

HIYO CHUPI MBONA NI NDEFU SANA UTAFIKILI UMENEPISHWA

Comment by Sir.Njau on March 27, 2012 at 3:51pm

dah Aunt jitahidi kujistiri basi kwan utatupoteza mashabiki wako kwan umezidi sasa hadi hicho ambacho angelipaswa akione mtu ambaye mko faragha unatuonesha ni jinsi gani ambavyo hujieshimu

Comment by Aysha on March 27, 2012 at 11:58am

KWA KWELI NDUGU ZETU HAWA WAMEZIDI, HATA KAMA NI HUO USTAA HAPA UMEPITA KIWANGO! NAONA NI BORA SERIKALI IWABUNIE SHERIA YA MAVAZI. WAMEZIDIIIIIIIIIIIIIIIIIIII........WANATUZALILISHA WANAWAKE.

Comment by Mamy Shaluathu on March 27, 2012 at 9:51am

hUYU DADA MSHENZI NA LIMBUKENI, AMELEWA SANA UMAARUFU. TATIZO WANADHANI WAKIVAA NGUO FUPI NDIO WANAPENDEZA ONA SASA ANAVYOJIDHALILISHA. BORA INGEKUWA NYEUSI IKAFANANA NA NGUO ALIYOVAA.  SERIKALI INGELIANGALIA HILI SWALA HAWA WANATUDHALILISHA WANAWAKE.

Comment by chalz on March 26, 2012 at 4:46pm

Ndikumana pole sana kwani ulipata garasha.

Comment by Johan Aloyce on March 26, 2012 at 12:33pm

Tabia ya mtu haina dawa jamani na biashara ni matangazo  na jinsi alivyokaa inaonyesha kuwa anakijua alicho dhamiria, huu ni umalaya lol

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }