Na Musa Mateja
Utulivu na ukimya wa Elizabeth Michael ‘Lulu’, unadaiwa kuwa na kitu nyuma yake kwani hata mtaani kwa mashosti zake haonekani kama alivyozoeleka.
Kwa mujibu wa mashosti zake aliozoea kujiachia nayo kwenye kumbi za starehe jijini Dar, amekuwa akionekana kwa nadra na mara ya mwisho kumuona alikuwa mwenye mawazo na hatumii tena kilevi kama alivyozoeleka.
Lulu ambaye hawezi kutimba sehemu na kuondoka kimyakimya bila ‘kuharibu’, amekuwa na ukimya wa ajabu tangu mwaka huu umeanza.
Marafiki hao walidai kuwa wamekuwa wakimchunguza huku mwenyewe akiwaeleza kuwa hata yeye mwenyewe hajielewi ni kitu gani kilichompata lakini hayuko vizuri.
Ili kupata mzani wa habari hiyo, Ijumaa Wikienda lilimuweka kitako kwa siku mbili tofauti ili kueleza kinachomsibu lakini amekuwa akikosa jibu zaidi ya kusingizia mfungo wa Kwaresma na wakati mwingine kudai hajielewi.
Comment
Comment by pjoan audes on April 11, 2012 at 10:50pm John bosco, hivi ukikuta wezi wawili mmoja kafa na mwingine kabaki utasema aliyebaki ndio kamuua aliyekufa?! hawa wote walikuwa wanatenda dhambi wameumbuliwa na umauti kwani hayo ndio malipo ya uongo tena wa kumuapia Mwenyezi Mungu.
Pia masharti aliyokuwa amepewa lulu ili aqualify kuolewa na kanumba yalikuwa mazito kwa kijana ambaye bado yuko kwenye foolish age yalikuwa yanampa msongo wa mawazo ndio maana kila alipoulizwa alisingizia kwaresima au kutojitambua kwanini yuko vile!
Comment by laurenciamsunga on April 11, 2012 at 12:52pm haaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!! ngoma ikivuma ujue iko mbioni kupasuka polen sana wafiwa.
Comment by Aminael FF on April 10, 2012 at 2:19pm ama kweli kimya kingi kina mshindo!!!!!!!! Poleni wafiwa na watz wote
Comment by Focus Kunambi on April 9, 2012 at 12:15pm LULU ULIPOHOJIWA NA SALAMA ULIKANA KABISA KUWA NA MCHUMBA, PIA UKAJIAPIZA KWA MUNGU, HUYO THE GREAT NAYE AKAWA ANAKUCHUKUA KWA SIRI NYUMBANI KWAKE, SASA KILA KITU HADHARANI. R.I.P KAMANDA KANUMBA, UMEMPIGANIA LULU MPAKA TONE LAKO LA MWISHO LA DAMU, KWELI WEWE ULIKUWA 'MPAMBANAJI JASIRI''
Comment by CBB on April 9, 2012 at 1:02am Kweli wahenga walisema kimya kingi kina mshindo mkuu...... Pole kwa familia ya kanumba. Hii sio lulu ni balaa!
Comment by john bosco on April 8, 2012 at 11:15pm hivi kweli bado lulu hajasema alichomfanyia kanumba ili kumsababishia kifo????
kuondoka kwake eneo la tukio bila kusema chochote kama mwizi inaonyesha kwamba anahusika moja kwa moja!!!!!
Mh! yadunia nimengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni!! R. I. P Kanumba.
Comment by ally kahamba on April 8, 2012 at 2:33pm Haya kimya kingi kina mshindo mkuu haya sasa yamemkuta makubwa kuliko hata yale ya ulevi na kutembea nusu uchi....
Comment by charles king on April 8, 2012 at 2:00am Daima roho na mwili hubashili tukio litakalo tokea in future, pole kwa familia ya marehemu s. kanumba gona miss u kanumba.
Comment by S. Arthur on April 8, 2012 at 1:31am haaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!11 ukimya wake sasa umefanya matukio kama si kumloga mwenzie kanumba basi atakua ni siku zake za mwisho kwa uhai wake.
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
Tatu Majaliwa |
| 6 |
hope |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
tina babi |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.





You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers