Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM ) wameanzisha mgomo tangu jana usiku na kuendelea nao leo asubuhi. Mgomo huo ambao hasa unafanyika katika Chuo Cha Sayansi Jamii (social science) una madai makuu mawili; moja likiwa ni la kufanya mafunzo kwa vitendo na la pili ni kudai miundombinu bora. Taarifa zaidi zinadai kua wanafunzi wa Social Science wamekua wakibaguliwa linapokuja suala la mafunzo kwa vitendo. Kuna wanafunzi wa Social Science ambao sasa wako mwaka wa mwisho lakini hawajawahi kufanya mafunzo kwa vitendo na hivyo wanahoji .

Imeelezwa kuwa wanafunzi waliamshwa saa kumi alfajiri kwa viboko ili kuungana
na wenzao ambao waliandmana kwenda ofisini kwa waziri mkuu na kujikuta katikati ya FFU ambao waliwatawanya kwa mabomu ya machozi!

PICHA YA MAKTABA NEWS ALERT NA ULANGA ALLY (MWANABIDII)

Views: 15

Tags: UDOM

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by SALEHE TOBA on December 24, 2010 at 10:51am
na bado mwaka huu!
Comment by zecho on December 23, 2010 at 9:36am
msidhani kila anasoma udom ni mwana ccm hii ni taasisi ebo!
Comment by justine baranyikwa on December 21, 2010 at 9:13am

sasa ndo mnafanya nini? Mbona na nyie mmemgomea Rais? Au hamjui suala la kuhakikisha ubora wa elimu ni moja kati ya ahadi zake na kama hicho ndo alichowaahidi so mnagomea nini? Nyie U DOM ni waajabu sana tulitegemea wasomi kama nyie ndo mgekuwa mstari wa mbele kutazama maovu ya nchi na kusapoti wanaharakati kama wabunge wa CHADEMA  ila ushamba wenu uliwafanya kukurupuka tu, Kweli kunakitu hamkipati kama wanavyuo wenzenu hasa hizo field ndo maana mnajua kuwa hapo chuoni ndo mmemaliza kila kitu. Ondoeni tongotongo kunekucha eh!!!!!!!!

Comment by lion on December 21, 2010 at 6:16am

poleni wanafunzi lakini msikate tamaa daini mpaka mwisho

Comment by zinga on December 21, 2010 at 12:06am

Afwande waongezee ri rungu la kichwa hawo!! Mura biga kabisa yarazwe yote hosbitali..... hayana adabu kabisa hayo. Yanaghoma wakati jusi tu yalimpongesa mkulu wa nji kwa usindi wa kisindo.... Biga biga sana hao afwande!!! Wanatia aibu taifa hili kwa utofu wa nidhamu

Comment by simon massawe on December 20, 2010 at 11:10pm

SERIKALI MLIYOKUWA MNAIUNGA MKONO NI NYINGINE AU NI ILE ILEEEEE! NYINYI SI MLIONA CHADEMA WAJINGA KUTOKA BUNGENIIII HAYA SASA KILA FISI AHANGAIKE NA MFUPA WAKE.

Comment by Msakanyoka Benet on December 20, 2010 at 10:44pm

Vipi nyie UDOM nyie si ndiyo chuo cha ccm  na Mheshimiwa sana ??? Inakuwaje sasa?? wakati wenzenu wakiandamana nyie mlikuwa mnalaaani sasa inakuwaje na nyie mnagoma ????? vipi mmesha jitenga na Thithiem semeni tujuwe maaana mlijifanya wajanja

Comment by vita wilbards on December 20, 2010 at 6:59pm

 MLIPOPINGA CHADEMA KUTOKA BUNGENI WENYE AKILI TULIJUA NI UJINGA WENU TU KUNA SIKU MTAKUA NA MTAYAONA YA DARINI

Comment by vita wilbards on December 20, 2010 at 6:58pm

MLIPOPINGA

Comment by vita wilbards on December 20, 2010 at 6:58pm

BWANA JAMES UMENIKUNA NILIKUWA NAHOJA KAMA YAKO

NDIO MAAANA MI NILIHOJI WALIOPINGA HATUA YA UDOM NI WANAFUNZI AU WANA CCM WALIOPO UDOM

 

GPL LIFANYIE KAZI HILI KAMA MKO OBJECTIVE KWELI


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
8 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
8 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website