Rajabu Mhamila, 'Super D'.
Kocha wa kambi ya Ngumi ya mkoa wa Ilala Kimichezo, Rajabu Mhamila, 'Super D', ameanzisha programu maalum ya kuwafanyisha mazoezi mazito mabondia wake.
Ameamua kuanzisha programu hiyo kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa kuwa na pumzi na nguvu kwa ajili ya kukabiliana na wapinzani.
Akizungumza leo, Kocha huyo alisema kuwa mabondia wake watashiriki katika mashindano ya 10 bora yaliyoandaliwa na Kinyogoli Foundation
yatakayofanyika Mei 4.
Alisema kuwa mabondia hao watazichapa katika mpambano wa aina yake utakaofanyika mwezi ujao katika Ukumbi wa Panandi Panandi Ilala.
“Nimeanzisha programu ya aina yake kwa ajili ya kuwajengea uwezo mabondia wangu ili waweze kuwa na pumzi za kutosha katika mashindano
mbalimbali” alisema. Super D.
Aidha aliongeza kwa kusema wanaomba wadhamini kujitokeza kusaidia vitu mbalimbali kwa ajili ya kufanikisha mchezo huo wa masumbwi kwa
kuwapatia vijana zawadi ndogo ndogo za kuwatia moyo. Mashindano hayo yatakayowashirikisha vijana mbalimbali katika uzito
tofauti yatakuwa na lengo la kuendeleza mchezo wa masumbwi nchini.
Mapambano yatakuwa mengi kwa kuwa vijana wengi wamejitokeza kuja kujiandikisha kushiriki siku hiyo alisema Super D.
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
hope |
| 6 |
Tatu Majaliwa |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
Mishy chunga |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
tina babi left a comment for Malangahe Joseph
tina babi left a comment for simon sanga
tina babi left a comment for brain gadau
tina babi left a comment for jacobs 2 jacobs
tina babi left a comment for Frank Jonas M
tina babi left a comment for Audifax Rugarabamu© 2013 Created by Global Publishers.




You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers