SIMU AINA YA NOKIA LUMIA 620 YATUA ‘BONGO’

Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (kulia) na Meneja wa Nokia Tanzania, Samson Majwala, wakionesha aina ya simu hiyo.

Matinde na Afisa Masoko wa Airtel Tanzania, Edwin Byampanju wakionesha tangazo la Nokia Lumia 620.


Wanahabari wakiwa kazini kwenye tukio hilo.
Mwandishi wa ITV, Jimmy Tara (kulia) akipokea Nokia Lumia 620, aliyojishindia kwenye Bahati Nasibu iliyochezeshwa kwa wanahabari waliohudhuria mkutano huo.

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Nokia leo wamezindua simu mpya aina ya Nokia Lumia 620, itakayowawezesha wateja wa Airtel nchini kuunganishwa na huduma ya teknolojia ya kisasa na kupata ofa kabambe za muda wa maongezi, ujumbe mfupi na kifurushi cha Internet kwa muda wa miezi mitatu.  Akizungumza na wanahabari makao makuu ya Airtel Tanzania, Jane Matinde, amewataka watumiaji wa simu za mkononi kuchangamkia simu hizo ambazo tayari zinapatikana kwa wauzaji wa simu za mkononi hapa nchini.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)  

Views: 1302

Tags: Zain-Tanzania

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by tatu said on April 16, 2013 at 8:57am

haya hongeren

Comment by LJH_3 on April 15, 2013 at 6:09pm
Haina hata mvuto japo naipenda sana Nokia..
Comment by richardngeze on April 15, 2013 at 4:50pm

Hakuna jipya hapo!

Comment by Joe Tesha on April 15, 2013 at 4:23pm

Thats great technology!

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

GLOBAL's 15 blog posts were featured
1 minute ago
Sagasa posted a status
2 minutes ago
GLOBAL posted blog posts
2 minutes ago
Sagasa posted a status
3 minutes ago
Sagasa posted a status
3 minutes ago
Sizz Wills posted a status
3 minutes ago
Sagasa posted a status
3 minutes ago
Shailene Woodley posted a status
6 minutes ago
robinrubby posted a status
8 minutes ago
araf vai posted a status
8 minutes ago
pentettilang posted a status
9 minutes ago
vanhelsing posted a status
10 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }