Afisa Habari wa klabu ya Simba, Clifford Ndimbo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika ukumbi wa klabu hiyo.
Klabu ya Simba imetaja kikosi cha wachezaji wake 26 wakiwemo wanne wapya ambao ni: Patrick Ochan, Shija Mkina, Amir Maftah na Abdulahim Humud. Uongozi wa timu hiyo pia umeingia mikataba na Selemani Matola na Amri Saidi ambao watakuwa makocha wasaidizi. Vilevile klabu hiyo inaendelea na mazungumzo na kocha maarufu, Syllersaid Mziray, kwa ajili ya kuwa kocha msaidizi pia ambaye atashughulikia masuala ya saikolojia na fizikia kwa wachezaji. Wakati huohuo, kocha mkuu wa timu hiyo anatarajiwa kuwasili leo jioni akitokea kwao Zambia alikokuwa kwa mapumziko.


Views: 2

Tags: KIKOSI, KUU, LIGI, SIMBA, YATAJA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by andufifye mwamatandala on July 21, 2010 at 4:54pm
WAHENGA WALISEMA BAHATI HAIJI MARA MBILI,SASA SUBIRINI KIPIGO MFULILIZO KAMA HAMJAMTIMUA HUYO.
Comment by Arqam Samir on July 21, 2010 at 9:46am
Hata akichelewa kurudi yeye akifika hapa ni kugawa Dozi hadi mwisho ligi bila kupoteza mchezo.
Comment by raphael charles on July 20, 2010 at 10:55pm
hivi huyu kocha huwalazima akienda kwao anachelewa kurudi kwa nini? huwa hajifunzi kwa mwenzake wa yanga?
Comment by Jaymore on July 20, 2010 at 6:02pm
SIMBA NDO KLABU LA UKWELI NDANI YA BONGO............. MAKAMUZI KAMA KAWA
WERA WERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
7 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
8 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website