Na Shakoor Jongo
MSANII wa filamu ambaye pia anafanya muziki, Zuena Mohammed ‘Shilole’ na demu mwenzake aliyefahamika kwa jina la Hawa Juma ‘Mama Ayana’ hivi karibuni waliwaacha watu midomo wazi baada ya kugandana kimahaba mbele za watu.
Zuena Mohammed ‘Shilole’ na Hawa Juma ‘Mama Ayana’ wakiwa wamegandana kimahaba.
Tukio hilo lilitokea Msasani jijini Dar kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi ambako kulikuwa na pati ya kusherehekea kuzaliwa kwa Hawa.
Wakiwa eneo hilo, wawili hao walionekana kuwa karibu sana na lilipofika zoezi la kulishana keki na kufika zamu ya Shilole aliyekuwa MC, Hawa aliweka pembeni ‘stiki’ aliyokuwa akiitumia kulishia watu wengine kisha kutumia mdomo wake kumlisha msanii huyo.
Shilole na Hawa wakisogeleana kimahaba.
Kitendo cha wawili hao kugandishiana midomo yao huku wakionekana wenye hisia, kilichukua muda wa takriban sekunde 60, mazingira yaliyowafanya baadhi ya waalikwa kuanza kunong’ona kuwa, kilichofanyika ni usagaji.
“Dah! Ndiyo nini sasa vile anafanya mama Ayana, mi’ sijapendezewa, watu si watahusisha na mambo ya usagaji,” alisikika akisema mama mmoja wa makamo.
Hata hivyo, wenyewe walipozungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti walisema kuwa, walichokifanya si kitu cha ajabu. Aidha, taarifa zilizopatikana baadaye zinadai kuwa mwanaume ambaye amejiweka kwa mama Ayana (jina kapuni) alipopewa taarifa za tukio hilo alifura kuonesha kutofurahishwa nalo.
Comment
Comment by Kisagase A H on January 6, 2013 at 5:11pm wamekosa wanaume wa kuwakuna hawa
Comment by Halima Kimoto on January 2, 2013 at 1:48pm Finar jahanam mashetani wakumbwa nyie ni Kaumu Luti acheni wigo jikitini katika tamaduni za kitanzania.
Comment by dinah kimz on December 22, 2012 at 9:28am hawana wanaume wa kuwakidhi mahitaji yao lbd
LAANA
Comment by Bolt Mshindi on December 16, 2012 at 3:25pm Shilole hebu nitafute shosti nikushauri,
Comment by Focus Kunambi on December 15, 2012 at 9:26pm @ kimama kinini, wakomeshe kabisa hawa wanaharamu, mwenzetu wewe uliyejaaliwa
Comment by richardngeze on December 15, 2012 at 4:24pm Ndiyo maana Typhoid haiishi.
Comment by VUVUZELA ZELA on December 14, 2012 at 10:30pm Wanataka kuandikwa magazetini , sura mbaya kama kiatu cha chooni !
Comment by kibaaa on December 14, 2012 at 9:00pm Hi inatokana na kila kitu chao kuwa feki, uzuri feki, elimu feki, umaarufu feki, maisha feki, urafki wao feki, wanaume wao feki, mapato yao yote wanayapata kwa njia feki no tax, mawasiliano yao feki, muonekano wao feki, ulimbukeni ndio umewajaa, kutaka kuwaharabu watoto wa wenzao. pumbavu wakubwa hao. tafadhali GPL tunawaomba msituwekee mambo kama haya ya kifeki.
Comment by Matilanga Lukingita on December 14, 2012 at 7:49pm Malaya hawa hakuna wa kuoa hapa. Labda hao wasanii wenzao
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
hope |
| 6 |
Tatu Majaliwa |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
Mishy chunga |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
Matilanga Lukingita commented on GLOBAL's blog post Mtibwa yamkaribisha Bahanuzi
tina babi left a comment for azan abdalla
tina babi left a comment for Richard Erasto
tina babi left a comment for juma musa
tina babi left a comment for chiko
tina babi left a comment for daniel paul
tina babi left a comment for MANGI WA MANGI
tina babi left a comment for samson ruhele
tina babi left a comment for kidudu m2
tina babi left a comment for mahmoud mohamed© 2013 Created by Global Publishers.




You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers