Shilole aifungukia stori yake ya kubakwa

Na Erick Evarist
MSANII wa filamu Bongo ambaye pia anafanya freshi kwenye muziki wa mduara, Zuwena Mohammed  ‘Shilole’ (pichani) amefunguka kuwa katika maisha yake ya kimapenzi hatasahau siku aliyobakwa na mwanaume ambaye kwa sasa hawezi kumuweka wazi.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Shilole alisema kuwa tukio hilo lilimfika akiwa ndiyo kwanza anaingia kwenye ulimwengu wa malavidavi ambapo mwanaume huyo alimlazimisha kufanya naye mapenzi.
“Katika maisha yangu nimepitia mitihani mingi, mmoja wapo ni huu wa kulazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa yangu,  kwa kifupi nilibakwa.  Niliumia sana hasa ukizingatia kuwa kipindi hicho nilikuwa sijawahi kabisa kufanya mambo hayo.  
“Kila ninapomkumbuka yule mwanaume naumia sana, kamwe sitamsahau. Historia hii na nyingine kuhusu maisha yangu inapatikana katika filamu yangu mpya inayoitwa Shilole In Dar,” alisema Shilole.

Views: 6631

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Frank Fungamenza on February 20, 2012 at 11:13pm

Hivi huyu mnaemuita Shilole anatufanya sisi wapumbavu sioo?...eti nilibakwa!..si ungekuwa uliripoti polisi kama ulibakwa?...leo ndio unakumbuka kama ulibakwa au umemkumbuka jamaa kwa kazi nzuri aliyoifanya?

Kama tukio ulilichukia si ututajie aliekufanyia?....na kwake ulienda kufanya nini kama sio umbeya unakusumbua wewe!....ulipigwa mashine ukaifurahia ndio maana huwezi kusahau full stop!!

Comment by julius chumila lawerence on February 19, 2012 at 9:55pm
We mtata unataka 2vutiwe na hyo move, ok 2tanunua ucjal!
Comment by baraka ndesamburo on February 19, 2012 at 10:29am

aiseee na we ulienda kutafuta nini kwa huyo mwanaume mpaka ukabakwa pole mwapenda vya dezo nyie

Comment by Lea Mkwizu on February 17, 2012 at 9:31pm
Da shilole pole kubakwa ni ki2 cha aibu
Comment by Kakytee The Director on February 16, 2012 at 12:43pm

duh hii hataringi kumbe umebirkiwa kwa kubakwa? ptuuuuu!!!!!1111 pole sana

Comment by Medaice Ice on February 16, 2012 at 12:26am
Pole ila yaonekana ulpenda maana tangu kpnd kle mpaka xaxa hukuchukua hatua yeyote na bado huitaji ayaa..
Comment by Lutchiana Robert on February 15, 2012 at 12:39pm

umebakwa sehemu gani za mwili wako

Comment by peter d. mwaimu on February 15, 2012 at 12:27pm

Ilikuwaje alikukamata kwa nguvu na kukuingiza ndani kwake au uliingia kwa hiyari yako? Pole dada

Comment by EMMANUEL THOMAS NGAO on February 14, 2012 at 3:33pm

Dah unatuzingua bwana ww unafikiri ss ni watoto wadogo nn yani ubakwe alafu ukae kimya huyo mtu hutaki kumtaja wala hujamripoti Police acha sanaa ww kila mahali unaona kwa kuleta usanii. Tuambie tu kuwa ni mtu wako huyo na ulipata utamu siku ile.....

Comment by Kagi Wakagi on February 14, 2012 at 12:51pm
Huo ni upumbavu tu unakusumbua wewe ilo jambo la kubakwa ndo unaona sifa! Ujinga huo elimika wewe.


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
7 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
7 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website