Na Gladness Mallya
Msanii wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka (pichani)  ‘amemfungukia’ muigizaji mwenzake, Wema Sepetu akijibu mapigo kufuatia mlimbwende huyo kumtuhumu kuwa alishirikiana na msanii Jacqueline Pentzel ‘Jack wa Chuz’ kumuibia Filamu ya The Diary waliyofanya katika kundi lao la JAROWE.

Akizungumza na Ijumaa jijini Dar es Salaam juzi, Rose aliweka ‘pleini’ kwamba, hawezi kuiba filamu ambayo amechangia nguvu zake kwa asilimia miamoja kwani tangu mwanzo alikuwa anafuatilia kila kitu peke yake huku Wema na Jack wa Chuz wakiwa bize na mambo yao.

Rose alisema kuwa, mara kwa mara alikuwa akiwaambia mastaa hao waongozane ili kuikamilisha filamu hiyo lakini walikuwa wakimpotezea na mpaka sasa haijakamilika.

“ Wema hajawahi kunipigia simu kuniuliza kuhusiana na filamu hiyo na sina ugomvi naye ‘so’ sitaki kusikia maneno, kila mtu ana uhuru wa kufuatilia jinsi kazi yake inavyofanyika.”

Jack wa Chuz, Rose na Wema ni wasanii walioamua kuunda kundi lilikwenda kwa jina la JAROWE ambalo lilidumu kwa muda mfupi na kusambaratika kabla hawajakamilisha filamu hiyo ya kwanza inayoleta mgogoro kwa sasa ambayo hivi karibuni Wema alidai kuwa wenzake wana mpango wa kumpiga changa la macho.

Views: 4982

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by said khamis on August 20, 2011 at 2:06pm
Mpeni mwenzenu  haki yake hata kama alishiriki sehemu ndogo kwanini mumdhulumuu?
Comment by Eunice Mimius on August 18, 2011 at 10:35am
hhahahaahah, mi mara nyingi huwa nafurahishwa na watoa comment tu
Comment by faya ndamayape on August 17, 2011 at 8:57am
mafahali wawili tu hawakai zizi moja. je, leo iweje mafahali watatu wakae zizi moja.kila mmoja atafute zizi lake
Comment by uba jumanne salim on August 15, 2011 at 7:46pm
kundi la sodoma na gomola ilo acha life
Comment by samira on August 14, 2011 at 1:41pm
uliona wapi mafahali wote wanakaa pamoja.me nilijua halitadumu kamwe.wote wanajidai wanajua kumbe zero
Comment by Efeso mbilinyi on August 12, 2011 at 10:06pm
sio bure wanapepo hawa
Comment by uba jumanne salim on August 12, 2011 at 9:56pm

bora kundi hilo livunjike maana ni kundi la kasheshe (wendawazim group hahahaaaa)

Comment by manka on August 12, 2011 at 4:32pm
MTAJIJU!!!!!!!!!!!!!
Comment by Rose on August 12, 2011 at 2:11pm
Hapa kwenye hili kundi si wazima wote wengine wanawaza kusagana wengine wanawaza ngono unategema mtadumu kweri haiwezekani maana kila mtu ana pepo lake linalomtuma kufanya vitu fulani POLENI sana
Comment by John Malechela on August 12, 2011 at 2:10pm
Kweli Vimeo vitupu

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by hiepelines Jul 4. 6 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Aug 15. 7 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Aug 15. 6 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by Joe reggan Apr 24. 2 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }