Na Rhobi Chacha
MISS Tanzania mwaka 200, Richa Adhia amesema kuwa ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aliyemtaja kwa jina la Hridhaan Dhllon itafungwa siku chache zijazo.
Akizungumza na Ijumaa, Richa alisema kuwa, amekuwa akiulizwa juu ya ndoa yake huku wengine wakidhani imeyeyuka lakini akasema wako katika maandalizi na siku ikiwadia wadau watajua.
“Ni muda mrefu nimetangazia watu kuwa naolewa baada ya kuchumbiwa lakini kiukweli bado tunaweka mambo sawa, kikubwa tuombe uzima.
“Ila naomba watu waelewe kuwa ndoa za Tanzania ni ngumu tofauti na za desturi ya kwetu kwani za Tanzania nyingi zinategemea michango ya watu ila za kwetu hakuna kuchangiana kivile hivyo yanahitajika maandalizi ya muda mrefu,” alisema Richa.
Comment
Comment by juma othman shaaban on February 18, 2012 at 4:35pm KILA LA KHERI RICHA &DHILON
Hamna lolote wapuuzi na wazinzi wakubwa. Hakuna sababu ya kuchelewesha ndoa katika dini kwa kusubiri sherehe. we sema unaendelea ku justify uzinifu wenu
Comment by Lillian j on February 10, 2012 at 6:04pm Ndoa za tz ni ngumu? Sema uchangiwe kama mahari haijakamlika maana desturi zenu binti ndiye atoa mahari
Comment by Lillian j on February 10, 2012 at 5:46pm mhhh kumbe si mtanzania?
Comment by julius manning on February 10, 2012 at 5:26pm kazi kwako binti
Comment by Rogers Mwachali on February 10, 2012 at 3:29pm
Comment by lumi mwandelile on February 10, 2012 at 2:06pm tena huoni hata aibu kujiita miss TZ, hovyooooo
Comment by lumi mwandelile on February 10, 2012 at 2:05pm hivi kumbe wewe si mtanzania, ilikuwaje ukapewa taji la miss tz??!! hii nchi bwana, wageni kama nyie mnafanya nini kwenye nchi yetu?
Comment by Aminael FF on February 10, 2012 at 1:25pm umeona huandikwi sana kwenye magazeti sasa njia ni hiyooo??????Jeshi fanyeni kazi zenu huyu binti alisema yeye ni Mtanzania leo sio Mtanzania anafanya nini hapa???
Comment by john john on February 10, 2012 at 11:23am Kwa hiyo hukuwa Mtanzania, unakubali mwenyewe kuwa uligushi uraia ukashiriki mashindano ya urembo kama miss Tanzania ????
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
Sili Silali |
| 5 |
IL-YA |
| 6 |
chama baby |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
kaka |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Kelvin Luhala Eto'o |
othman Ochu posted a status
mrembo commented on Sili Silali's photo

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers