PATA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2010

Views: 22996

Tags: 2010, CHA, KIDATO, MATOKEO, NNE, PATA, YA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Beatrice Robert on January 28, 2011 at 3:26am
wasichana mmejitahidi though matokeo ya mwaka huu yamenisikitisha,keep it up
Comment by RAJAN HUSSEIN on January 28, 2011 at 12:10am
Mtihani ni mtihani tu!!!!humfanya mtu atawaliwe na mawazo kabla ya kuufanya na kumkosesha raha yanapokaribia majibu nafuraha majibu yanapokuwa mazuri ila huzuni yanapokuwa mabaya.Mliofail c kwamba hamna akili au ndo mmefail maisha kuweni wastahamilivu kwani maisha ni kupambana mccte kuwaomba jamaa zenu ushauri juu ya maisha kwani bado mnanafac.Mliofaulu hongereni sana ila mkumbuke bado mnasafari ndefu ya maisha kufaulu ngazi moja c kuyashinda maisha.....
Comment by neema molleli on January 27, 2011 at 3:43pm

MUNGU AWABARIKI MUENDELEE KUPENDA KUSOMA KWANI ELIMU HAINA MWISHO.

Comment by julius manning on January 27, 2011 at 1:58pm
huduma yenu ni poa
Comment by Sebastian Salatiel Shemhilu on January 27, 2011 at 1:42pm
WASICHANA WAMEJITAHIDI SANA

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ Dec 16. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 18 hours ago. 13 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by maleka sakeha yesterday. 30 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson 17 hours ago. 13 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 19 hours ago. 38 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

Nurislamtwo posted a status
10 seconds ago
dajkopu posted a status
47 seconds ago
comesome38 posted a status
59 seconds ago
bujangan posted a status
2 minutes ago
vbxcvb dfgdf posted a status
4 minutes ago
zokilasy posted a status
""
4 minutes ago
vbxcvb dfgdf posted a status
""
4 minutes ago
yohana hans posted a status
4 minutes ago
comesome38 posted a status
5 minutes ago
comesome38 posted a status
6 minutes ago
comesome38 posted a status
7 minutes ago
comesome38 posted a status
7 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }