PATA MATOKEO MAPYA YA KIDATO CHA NNE 2012

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.

KUPATA MATOKEO MAPYA YA KIDATO CHA NNE 2012 BOFYA HAPA
Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza rasmi matokeo ya Kidato cha Nne 2012. Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezeka baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), kufanya marekebisho alama za viwango vya ufaulu.

Matokeo hayo mapya yanaonyesha kuwa, ufaulu wa kuanzia daraja la kwanza hadi la nne umeongezeka kutoka asilimia 34.5 kwa matokeo yaliyotangazwa awali na kufikia asilimia 43.08. Hii inamaanisha kwamba watahiniwa wapatao 30,063 ambao awali walikuwa wamepata sifuri katika matokeo ya awali sasa wamepanda na kupata madaraja ya ufaulu katika matokeo mapya.

Matokeo ya awali yaliyotangazwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa yalionyesha kuwa kati ya watahiniwa 367,756 waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana, waliokuwa wamefaulu kwa daraja la kwanza mpaka la tatu walikuwa 126,847 sawa na asilimia 6.4. Waliopata daraja la nne walikuwa ni 103,327 sawa na asilimia 28.1.

Katika matokeo hayo, watahiniwa 240,909 sawa na asilimia 65.5 walipata sifuri, hesabu ambayo imebadilika katika matokeo mapya ambayo yanaonyesha kuwa sasa waliopata daraja hilo ni 210,846 sawa na asilimia 56.92 wakati wavulana wakiwa ni 104,259 na wasichana 106,587.


Views: 21605

Tags: 4, FORM, MATOKEO

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by tatu said on May 31, 2013 at 10:31am

Tunashukuru 2meona mabadiliko kwenye haya ya sasa japokuwa sio sana.

Comment by Matilanga Lukingita on May 30, 2013 at 8:05pm

Haya bana na hizo sarakasi zenu. Mlisema wamefeli kwa sababu ya simu, mara facebook mara twitter!! Eheee sasa wamefaulu tena??????? Yetu macho na masikio

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by maleka sakeha Oct 9. 1 Reply

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ıznƃunɥɔW Sep 28. 23 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by maleka sakeha Oct 9. 84 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by navarrohart Jun 8. 37 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by anilahsan Jun 26. 72 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Aicar Salewa May 23. 5 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by penina mwailunda Oct 17. 22 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

sukanta sarkar posted a status
"Free TV %^ USA Eagles vs NZ All Blacks Live Streaming Rugby AT Chicago Online Streaming All Blacks http://www.imdb.com/list/ls071200851/"
1 minute ago
sukanta sarkar posted a status
"Free TV %^ USA Eagles vs NZ All Blacks Live Streaming Rugby AT Chicago Online Streaming All Blacks http://www.imdb.com/list/ls071200851/"
1 minute ago
sukanta sarkar posted a status
"Live % USA Eagles vs All Blacks Live Streaming New Zealand Rugby Stream Free TV ^^& http://www.imdb.com/list/ls071200064/"
1 minute ago
John Hatchett posted a status
1 minute ago
John Hatchett posted a status
1 minute ago
John Hatchett posted a status
1 minute ago
nilpori posted a status
2 minutes ago
CarlosAl posted a status
2 minutes ago
Sharifa Idassy liked GLOBAL's blog post WAKILI WA MOYO-66
3 minutes ago
nilpori posted a status
5 minutes ago
sushanta posted a status
"NZ % All Balcks vs United States Eagles Live Streaming Rugby Online Free Tv 2014 November http://www.imdb.com/list/ls071205984/"
5 minutes ago
John Hatchett posted a status
5 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service