Na Erick Evarist
MKATA mayenu kunako Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface (pichani) anatarajia kupigwa ndoa ya kimyakimya na sherehe itafuata baadaye.
Akipiga stori na Motomoto Newz juzikati jijini Dar, mchumba wa mnenguaji huyo, Ally Zae alisema anaona kama vikao vya harusi vinachelewesha kuoana hivyo ni bora waoane kwanza kisha sherehe zifuate.
“Vikao vya harusi yetu vimeshaanza lakini itatangulia ndoa ya kimyakimya kisha baadaye ndiyo itafuata sherehe ambayo watu wengi watapata kuhudhuria,” alisema Zae.
Otilia alipoulizwa juu ya suala hilo la kuolewa kimyakimya alisema; “Kwangu yote ni heri sababu jambo hilo ni la heshima hivyo sioni kama kuna tatizo na nina muomba Mungu alifanikishe haraka.”
Comment
Comment by kaka on February 28, 2012 at 9:12am NA TARAKA IWE YA KIMYAKIMYA PIA
Sijamuelewa huyu jamaa anachotaka ni kufunga ndoa bila ya sherehe ya harusi au ni kunyakua mwanamke na kuendele kuzini nae huku wakingoje kufunga ndoa rasmi
Comment by samora rajab albert on February 24, 2012 at 6:50pm weye kweli una hamu ya ndoa
Comment by Theddy Jacob on February 23, 2012 at 3:53pm Tulieni. mjipange
Comment by Theddy Jacob on February 23, 2012 at 3:52pm Harry harry has no blessing so. Tulieni au mnafikiri ndoa ni safari ya kwenda na kurudi.
Comment by julius manning on February 23, 2012 at 2:50pm Ndoa ni ndoa tu ahudhurie mtu mmoja au muwe peke yenu na mfungishaji yote sawa tu
Comment by FURAHA TAUSI on February 23, 2012 at 12:12pm UNAOGOPA UNAWEZA KUACHWA KWENYE MATAA??
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
Sili Silali |
| 5 |
IL-YA |
| 6 |
chama baby |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
kaka |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Kelvin Luhala Eto'o |
othman Ochu posted a status
mrembo commented on Sili Silali's photo

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers