Odinga akishuka kwenye ndege.

Akisalimiana na mwenyeji wake ambaye ni mmiliki wa Quality Centre, Yusuf Manji. Anayeshuhudia katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq.
WAZIRI Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, jana jioni alitua hapa nchini kwa ajili ya shughuli za uzinduzi wa jengo la kisasa la biashara la Quality Centre, lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Shughuli hizo hizo zinatarajiwa kuzinduliwa leo asubuhi.


Akipokea heshima kutoka kwa maofisa wa jeshi la polisi waliokwenda kumpokea.
Manji akitambulishwa kwa baadhi ya viongozi waliokuwa kwenye msafara wa Odinga.
Odinga akiingia kwenye gari kupelekwa sehemu alipopangiwa kupumzika.
Gari lililombeba.
Watumishi wa Quality Centre Screen yenye urefu wa mita 11 na upana wa mita 5 wakiwa katika moja ya kumbi saba za sinema zinazotarajiwa kuzinduliwa leo.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL   

Views: 795

Tags: Q-CENTRE

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Mawazo Katota on February 14, 2012 at 8:10pm

Ni sawa na Hell's Gate Shopping centre ya Joberg kwa mzee Jacob Zuma

Comment by FURAHA TAUSI on November 25, 2011 at 3:39pm

ASILIMIA KUBWA YA BIASHARA ZINAZOFANYIKA NDANI YA JENGO HILO NI ZA KAMPUNI MOJA YA KENYA KWA HIYO LAZIMA ODINGA WAJE WAFUNGUE

Comment by Kissa Anyigulile on November 25, 2011 at 10:47am

Mengi Abraham acha longolongo za kujikomba kwa wanasiasa wa chama tawala, wakiondoka utakoma. Angalia wenzako mambo ya siasa hawana mpango nayo, na sasa wako juu sana. Ndio maana alidai fidia ya shilini moja tu toka kwako.

Comment by Sixbert on November 25, 2011 at 10:09am

...uyu Manji angetakiwa awe MCHAGA,,,,anasaka mahela kinoma,,,duh!!!!!!!

Comment by lumi mwandelile on November 25, 2011 at 9:58am

manji kiboko

Comment by ANDERSON SOGOLE on November 25, 2011 at 9:53am
ODINGA anamzidi mshahara huyu jamaa aliyetuomba tuwe mashoga bwana David Cameron wa uingereza.ODINGA yupo kwenye top ten ya viongozi wanaopokea mshahara mkubwa duniani,
Comment by nisile mchappi mwasulama on November 25, 2011 at 9:05am

HUYU JAMAA KWA SURA NI KAMA ANALIA _LAKN VERY FIRM TI ISSUES UNLIKE MKWERE,......AHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
6 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
6 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website