Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga jana Nov 25, 2011 alifungua Jengo la kibiashara la kisasa la Quality Centre lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Pichani ni Mhe. Odinga (kulia) akiangalia bidhaa za Super Market ya Uchumi inayomilikiwa na Wakenya iliyomo kwenye jengo hilo.
Mmilikiwa wa jengo hilo, Yusuf Manji (kulia) akimuongoza mwenyeji wake (Odinga).
Msafara ukiwa kwenye ngazi za umeme wakati wa kuzunguuka kwenye jengo hil
...Wakiangalia sinema kwenye moja kati ya kumbi saba za kisasa zilizomo kwenye jengo hilo.
Mhe. Odinga akijiandaa kurusha mpira (Bowling) kwenye moja ya michezo iliyomo kwenye jengo hilo.
Mgeni rasmi akikagua kituo cha michezo.
...wakiangalia sarkasi na ngoma za asili
Manji akimkaribisha mgeni rasmi kutoa hotuba
Sehemu ya umati uliofurika kwenye uzinduzi huo.
Mgeni rasmi akihutubia umati uliofurika
Mke wa Odinga, Ida Odinga akisikiliza hotuba
geni rasmi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jingo hilo.
Jengo la Quality Centre, lipo Nyerere Road, jirani na kiwanda cha National Battery
Mbunge wa zamani wa Igunga, Rostam Azizi (katikati) akibadilishana mawazo wageni waalikwa.
Wafanyakazi wa duka la Manzelline lililopo kwenye jingo hilo wakiwa kwenye pozi ndani ya Ukumbi wa burudani wa Savanna ambapo sherehe ya uzinduzi huo ilifanyika.
Meneja wa Maendeleo wa Quality Centre, Sara Pima (Wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wabunge wa viti maalum
Mke wa Manji (kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mama Odinga na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe. Odinga akiwa kwenye picha ya pamoja na raia wa Kenya walioalikwa kwenye hafla hiyo
Wahudumu wa mapokezi wa Jengo la Quality Centre, Amina (kushoto) na Zuhura wakiwa na nyuso za tabasamu wakati wakikaribisha wageni wageni
PICHA : RICHARD BUKOS / GPL
Comment
Hii ndio Dar es salam ya sasa kwa wenye nazo. Panapendeza.
Comment by lumi mwandelile on November 28, 2011 at 7:53am hii ni bab kubwa
Comment by ANDERSON SOGOLE on November 26, 2011 at 8:58pm | 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
Sili Silali |
| 5 |
IL-YA |
| 6 |
chama baby |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
kaka |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Kelvin Luhala Eto'o |
othman Ochu posted a status
mrembo commented on Sili Silali's photo

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers