Na Shakoor Jongo
MWIGIZAJI wa kitambo Bongo, Nuru Nassor ‘Nora’ amedai kuwa staa mkubwa wa muvi, Vincent Kigosi ‘Ray’ anamchukia, hali iliyosababisha pakachimbika kati yao.
Nora aliliambia Ijumaa mwanzoni mwa wiki hii kuwa, Ray amekuwa akimzibia riziki kwa kumnyima madili ya kucheza filamu huku akionesha dhahiri chuki na kumtangaza kwamba ni Chizi (mtu mwenye wazimu au akili kidogo).
“Ray amekuwa akininyima madili ya kucheza filamu, mbaya zaidi akiitwa kama ‘dairekta’ kwenye muvi huwa akisikia kama nitakuwa mmoja wa waigizaji katika filamu hiyo huwa anakataa nisiigize au anakataa udairekta,” alidai Nora.
Ili kupata mzani wa habari hiyo, Ijumaa lilimgeukia Ray na kummwagia ‘upupu’ wote ambapo mbali na kukasirishwa na maneno hayo, alikuwa na haya ya kusema:
“Nora alishapotea kwenye gemu, anataka kurudi kwa mgongo wangu, mimi simchukii Nora na wala sijawahi kumbania mahali popote, ni vema akasema ni filamu gani niliyobana asiigize.”
Hata hivyo, wawili hao walikubalina na ushauri wa Ijumaa kuwa wakutane, wazungumze na kumaliza tofauti zao.
Comment
Comment by samwel omahe on February 22, 2012 at 5:19pm eeeeeeh!!! mwachen na nora naye apete mbona bado yumo kwenye chat!!!!
Comment by ANDERSON SOGOLE on February 13, 2012 at 8:38am
Comment by julius manning on February 10, 2012 at 5:19pm promo
Comment by juma othman shaaban on February 10, 2012 at 5:09pm pole sana nora, yote ndio maisha wala usijali kwani kila kitu kina mwisho, iko siku utapata dili la ukweli
Comment by Rogers Mwachali on February 10, 2012 at 3:21pm
Comment by lumi mwandelile on February 10, 2012 at 12:17pm kweli furaha nora ni mfamaji anatafuta pa kufia
Comment by gianna sika on February 10, 2012 at 11:37am jamani huyu kaka sijui ni majano amejipaka alafu hajasafisha uso vizuri au nimkorogo umezidi hivi siuache tu sasa kujichubua jamani huoni aibu hadi kinyaa
Comment by FURAHA TAUSI on February 10, 2012 at 10:42am MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA
Comment by kaka on February 10, 2012 at 10:17am SAWA RAY NIMEKUELEWA
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
Sili Silali |
| 5 |
IL-YA |
| 6 |
chama baby |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
kaka |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Kelvin Luhala Eto'o |
othman Ochu posted a status
mrembo commented on Sili Silali's photo

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers