Mzee Kipara akipata matibabu jana.

Muuguzi akimhudumia Mzee Kipara.

Baadhi ya wasanii waliofika kumjulia hali jana ni pamoja na  Fatuma Makongoro 'Bi Mwenda' (mbele).
MSANII mkongwe wa maigizo na filamu, Mzee Fundi Said, aliyevuma katika fani hiyo tangu akishiriki uigizaji vipindi vya Radio Tanzania hadi kundi la Kaole, amefariki leo asubuhi majira ya saa 3:30 huko Kigogo.  Hali ya msanii huyo ilianza kuwa ya utata miaka ya karibuni akisumbuliwa na matatizo kadhaa ya kimwili ambapo jana hali yake ilikuwa mbaya wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika makazi yake katika nyumba inayomilikiwa na kundi la Kaole.
Mtandao huu utawaletea habari zaidi za tukio hilo pindi zitakapopatikana.

 

PICHA: GLADNESS MALLYA NA RHOBI CHACHA, GPL

Views: 1674

Tags: AFARIKI, KAOLE, KIPARA, MZEE, WA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Mudy Seif Kabelele on January 12, 2012 at 8:53pm
r.i.p mzee kpara
Comment by Gaston Kayombo on January 12, 2012 at 7:01pm

mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi

Comment by samora rajab albert on January 11, 2012 at 7:07pm

innaa lillahi wainna ilayhi rajiun

Comment by julius manning on January 11, 2012 at 4:52pm

poleni sana

Comment by DINA FLAMINGO on January 11, 2012 at 4:00pm

pumzika kwa amani Mzee Kipara...

Comment by Ramadhani Maulidi on January 11, 2012 at 3:40pm

Innalillah wainnailayhi rajuun

Comment by Rogers Mwachali on January 11, 2012 at 3:17pm
Pole kwa wasanii na ndugu wa mzee Kipara bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Comment by nkurufi on January 11, 2012 at 2:58pm

Bwana alito, Bwana ametwaa , jina la Bwana libarikiwe...astarehe pema peponi. Amen

Comment by lety. on January 11, 2012 at 2:46pm

mungu amlaze pema hakuna atakae baki milele sote safari yetu ni moja.

Comment by lety. on January 11, 2012 at 2:41pm
mungu akulaze pema na sote safari yetu ni moja.


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
6 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
6 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website