MUZASHA TOURS KATIKA TAFRIJA YA KUIDHAMINI MISS TANZANIA

Mkurugenzi wa Muzasha Tours na ‘Pedeshee’ maarufu, Muzamil Katunzi (kushoto) akiwa na ‘Mapedeshee’ wezake katika pati hiyo.
KAMPUNI ya usafirishaji na utalii ya Muzasha Tours ya jijini Dares Salaam, jana iliandaa tafrija ya nguvu katika Hoteli ya Regency iliyopo Mikocheni jijini baada ya kuingia mkataba wa kuyadhamini mashindano ya Miss Tanzania mwaka huu.


Baadhi ya wageni waalikwa wakiangalia picha walizopiga katika kamera yao.


Miss Vodacom Tanzania anayemaliza muda wake, Miriam Gerald, akipata msosi.


Mkurugenzi wa Muzasha akisalimiana na Miss Tanzania Miriam Gerald.


Mkurugenzi wa Muzasha akipata kinywaji na wageni waalikwa.PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL

Views: 592

Tags: KATIKA, KUIDHAMINI, MISS, MUZASHA, TAFRIJA, TANZANIA, TOWERS, YA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Joseph John Lwinga on August 5, 2010 at 2:19pm
Haya warembo kazi kwenu,vibopa ndio hao wameingia anzeni kupigana vikumbo mhongwe magari kama kawaida yenu
Comment by isaac msafir on August 4, 2010 at 3:34pm
SHUZI LIMEPATA MJAMBAJI
Comment by disminder on August 4, 2010 at 12:31pm
haya weee kivazi mtoto
Comment by Kulwa Dennis John on August 4, 2010 at 11:18am
mhhh jamani!!!!!! haw mapedejheeeeeeee si ndio wanahalalisha tiketi ya kuwatafuna mabinti zetu jamani!!!!!!!!!!!!!!! naona wamejisogeza karibu sasa. Na wao wamezidisha njaaaaaaa ndio maana wanaliwa kila kukicha.

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ yesterday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }