MTANGAZAJI: NINA MIMBA YA SHARO SOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA
Comment
Comment by lumi mwandelile on January 4, 2013 at 11:35am umbea tu, unajitafutia umaarufu
Comment by Halima Kimoto on December 31, 2012 at 10:16am Una didi dada wewe una mimba kakuowa huoni hata aibu hebu fumba domo lako.
Comment by Ainess Willy on December 28, 2012 at 10:41am akujue majuto hata angekujua nani we lea mimba subiri kwenda leba tu hiyo ndio kikomo yako bwege wee
Comment by NDAUKA the GREAT on December 22, 2012 at 7:28pm EVERY SING IZ MIPANGO!!!! HAYA DADA NA WEWE HUZA SURA!!! KAMA ANGEKUWA HAI SIZANI KAMA UNGESEMA HIVYO!!!
Comment by dinah kimz on December 22, 2012 at 9:23am paleeeee
Comment by dinah kimz on December 22, 2012 at 9:22am kama mliweza kufanya mapenzi yakawa ya siri basi ata xx uzae kisirisiri hakuna umuhimu wa kujitangaza mana wakat mnapeana hyo mimba hamkuushirisha jamiiiii, iweje leo hii unatushirikisha??? auu una vicent vya kulelea mtyotooooooo.............................?????
Comment by pjoan audes on December 21, 2012 at 5:39pm Hapa mirathi hupati mdogo wangu manake kwao na sharo hawana uwezo kifedha hivyo tu asset alitwo acha marehemu ndio watagangiagangia, kama una mimba jiandae kulea mwanao
Comment by Doreen Makorenda on December 18, 2012 at 2:33pm Wasichana tuwe na akili jamani tusijitangaze kwa ujinga mtu mwenyewe kashafariki wewe unajua kuwa ndugu zake wanakujua sisi unatutangazia yanatuhusu nini?
Comment by mayalilwa on December 14, 2012 at 5:00pm Kwahiyo kujitangaza kuwa una mimba ya sharo ndio kutafuta sifa au ni nini? Au ndio njia ya kudai mirathi!
Comment by meggie impostra on December 8, 2012 at 11:53am sawa alikuwa sasa sharo ndo keshakufa unajtokeza ili iwejeee tujue kama amekuacha na mimba ya mtoto wake au maana sijaona sabb ya wewe kulopoka na kujitoa na mtu ameshakufaaa tyr kwa nn usingekaa kimyaa tu
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
hope |
| 6 |
Tatu Majaliwa |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
Mishy chunga |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE yesterday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
tina babi left a comment for henry
tina babi left a comment for alex masanje
tina babi left a comment for Allen Leonard
tina babi left a comment for Frank
tina babi left a comment for Salim Ally
tina babi left a comment for MALUGU M MADUHU
tina babi left a comment for NICODEMAS STANSLAUS
tina babi left a comment for suleimani rajabu amri
tina babi left a comment for RAIS MTARAJIWA AWAMU YA 5
tina babi left a comment for pikaso
tina babi left a comment for francis lawrence
tina babi left a comment for Junior Kisaka© 2013 Created by Global Publishers.




You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers