Msanii Kidedea afungwa China kwa kumuibia mzungu

Na Sifael Paul
MSANII wa maigizo aliyewahi kuwika na Kundi la Sanaa la Kidedea aliyetajwa kwa jina moja la Jack almaarufu Safina, anadaiwa kufungwa gerezani huko Hong Kong, China.
Kwa mujibu wa chanzo chetu nchini humo, Safina ambaye hivi karibuni aliuza nyago kwenye Filamu ya Inye, alikutana na aibu hiyo baada ya kutiwa nguvuni kwa shitaka la kumuibia Mzungu.
Ilidaiwa kuwa, Safina ambaye mwaka jana alifungwa miezi sita nchini humo katika Gereza la Lai Chi Kok kwa kosa la ukahaba, alipotoka kifungoni alipata mwanaume wa Kizungu ambaye alimuamini hivyo akawa anampa kadi ya benki kwa ajili ya kuchukulia fedha.
Ilisemekana kuwa, siku moja Safina aliyekuwa amemkoleza ‘mtasha’ huyo kimapenzi, alimtoka fedha nyingi na kununua vitu ili arejee Bongo, lakini kabla ya kukamilisha mchongo huo, ndipo akadakwa na kufikishwa mahakamani kabla ya hivi karibuni kutupwa jela (muda haukujulikana).
Jitihada za kuwapata ndugu wa msanii huyo ili kujua kama wana habari juu ya kufungwa kwa Safina hazikuzaa matunda hivyo zinaendelea.   

Views: 3237

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by frederick hupira on March 30, 2012 at 9:59am

WANAWAKE WENGI WANAOENDA CHINA HUFANYA UMALAYA PIA. ANGALIENI WENYE SAFARI NYINGI ZA CHINA

Comment by Mtanganyika Masalia on March 24, 2012 at 8:22am

duh huyu kweli sterling wa kuzisaka

Comment by Yassir Ally on March 19, 2012 at 4:15pm
Ah umalaya umemzidi haki yake kufungwa
Comment by Mawazo Katota on March 18, 2012 at 1:30pm

Hao ndio Wasanii wetu. Wanao jiita kioo cha jamii. Tujifunze wizi sasa.

Comment by Ukweli100 on March 17, 2012 at 11:33pm

KUDHALILISHA TANZANIA TU! KAFIE HUKO!

Comment by Ukweli100 on March 17, 2012 at 11:33pm

UKOMESHWE SIJUI KWANINI WASANII MNAENDESHWA NA PEPO LA FEDHA NA NGONO. KAHABA MKUBWA WEE!

Comment by Focus Kunambi on March 17, 2012 at 3:54pm

MASTAA KARIBU WOTE WANAOKWENDA CHINA KUJIDAI KUFANYA BIASHARA NDIO ZAO KAMA SIYO WIZI BASI WANAENDA KUJIUZA KISHA WANAKUJA NA VIJIMZIGO VYA KUZUGIA WATU

Comment by Rogers Mwachali on March 17, 2012 at 8:00am
Alimtoka mzungu ili aje atanulie bongo sasa unanyea ndoo.
Comment by Devotha Meena on March 16, 2012 at 6:59pm
Mmezoea tabia za kijinga bongo acha ufundishwe adabu
Comment by julius manning on March 16, 2012 at 1:48pm

mtoto akililia wembe mpe

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

zanta posted a status
""
2 minutes ago
bujangan posted a status
2 minutes ago
kemeya posted a status
3 minutes ago
aniket posted a status
4 minutes ago
seetha posted a status
4 minutes ago
kemeya posted a status
4 minutes ago
robinrubby posted a status
4 minutes ago
kemeya posted a status
5 minutes ago
bujangan posted a status
6 minutes ago
kemeya posted a status
6 minutes ago
Shailene Woodley posted a status
6 minutes ago
kemeya posted a status
6 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }