MPENDE MWANAO KWA MAVAZI YA JUST JUNIORS

Mambo yote haya utayapata ndani ya Quality Centre Shopping Mall.

More information, pls call:

QUALITY CENTRE: 0684 111 865 OR 0716 780 130

 

Views: 313

Tags: Q-CENTRE

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Mawazo Katota on February 14, 2012 at 8:15pm

Leo naona ajabu kidogo kwa sababu inaonekana kuwa Global wametoka kwenye udaku nakujikita kwenye matangazo big up lakini mchezo huu usiendelee au usichukue nafasi kubwa.

Comment by manka on November 24, 2011 at 3:53pm

vinavutia kweli, haswa hizo gauni mbili  za rangi ya karot ni saiz za wanangu,  mikoani mnatuma kwa mabasi?

Comment by FURAHA TAUSI on November 24, 2011 at 8:58am

MMH HIYO BEI NI KUANZIA LAKI MOJA NA KUENDELEA....TUTABANANA HUKO KWENYE MTUMBA NA UCHINA MPAKA BASI

Comment by Real De' Dear on November 24, 2011 at 8:06am

vi2 ni vizuri sana kwa mwenye wtt kazi kwenu.

Comment by Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) on November 24, 2011 at 1:30am

Bidhaa ni nzuri na natumaini kwamba ni za kiwango kinachotakiwa. Kizungumkuti hata hivyo ni bei, na wengi wetu tusio na uwezo tutaishia kuzifaidi kwa macho tu. Ndiyo maisha!


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
5 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
6 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website