MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI YAAGWA LEO

Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili wa askari wa3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji  wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya Jeshi la Umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga miili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.
Mkuu wa Majeshi nchini, Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.
Mkuu wa Majeshi nchini, Devis Mwamunyange akimfariji mke wa mmoja wa askari waliofariki, Bi. Fatuma Chunguile.
Askari wa JWTZ wakiingiza miili ya marehemu katika gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya mazishi.

Mkuu wa Majeshi nchini, Devis Mwamunyange akiongea na wanahabari.

Views: 1025

Tags: ASKARI, JWTZ, LEO, MIILI, NCHINI, SUDANI, WA, WALIOKUFA, YA, YAAGWA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Isaya george sanga on September 8, 2012 at 8:57am

R.I.P MAKAMANDA WANGU

Comment by David Wagwene on September 8, 2012 at 12:50am

AJALI KAZINI MUNGU AZIPE NGUVU FAMILIA ZA WAFIWA KTK KIPINDI HIKI KIGUMU

Comment by Khadija Ngayonga on September 7, 2012 at 9:04pm
Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi,Ameen
Comment by Rahim Ally on September 7, 2012 at 6:19pm

RIP MAKAMANDA,HIYO NI AJALIKAZINI,NAJUA MLIKUWA MNAWAKILISHA TAIFA

Comment by mammy on September 7, 2012 at 4:24pm

RIP vijana wetu

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 1 hour ago. 12 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by maleka sakeha 2 hours ago. 30 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }