Joseph akiwa amelala barabarani ambako baadaye wananchi walifika na kumsaidia.
Comment
Comment by Angela Mushumbusi on December 10, 2010 at 9:34am Pole kaka kwa yote yaliyokusibu, wa kulaumiwa ni hao madaktari jaman!!!! Asanteni sana kwa wote mliotoa msaada kwa ndugu yetu huyu make si mchezo mpaka mtu unaanguka chini, hayo mapito kaka Mungu atashusha heri, kikubwa ni uzima tuuuuu....
Comment by FURAHA TAUSI on December 10, 2010 at 8:47am JAMANI DAKTARI MNATAKA KUUWA MBONA HAMUWEZI KUANGALIA MTU NA KUMSAIDIA???
POLE SANA KAKA.
Comment by rosalinda jenes on December 10, 2010 at 7:56am Madaktari siku hizi nafikiri vyeti ni vya kuchakachua......dr anampa mgonjwa dawa bila kumwamboa masharti .....km meza dawa hizi baada ya kula...........siku hizi hawaulizi kama una alerji ya dawa wanayokupa ama vipi.......mzee magufuli ni shahidi wa udhaifu huu.......naona yeye hakuutambua, vinginevyo ninvyomfahamu mie anglivalia njuga..........siku hizi afya ya mlaji haithaminiwi ni pesa kwenda mbele...... Udumu JK
Comment by Ernest Gregory Ndunguru on December 10, 2010 at 7:30am Sijui chama na ugonjwa wa mtu vinahusiana nini? We Jamali acha tabia ya kibaguzi haina maana. Binadamu hatukosi ya kuongea. Mliomsaidia mungu atawazidishia mara dufu.
Comment by lion on December 10, 2010 at 6:14am pole sana Joseph hayo ni mapito bro yana mwisho kaka.
Mmmh, jamani ni huruma mtu mpk njaa imemdondosha mbarikiwe sn mliomwezesha walau kwa chakula na maji.
Jamani ambulance kwani Tanania hatuna uwezo wa kununua??????
Comment by DR.kim on December 9, 2010 at 5:59pm
Comment by jamali omary on December 9, 2010 at 4:30pm | 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
Sili Silali |
| 5 |
IL-YA |
| 6 |
chama baby |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
kaka |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Kelvin Luhala Eto'o |
othman Ochu posted a status
mrembo commented on Sili Silali's photo

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers