MBOWE NA LEMA MIKONONI MWA POLISI

Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Aikaeli Mbowe.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Aikaeli Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wametiwa mikononi mwa polisi baada ya kufanya maandamano yaliyozuiwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha.

Chanzo cha maandamano hayo yaliyozaa yote hayo ni kufuatia kitendo cha chama hicho kupinga matokeo ya nafasi ya umeya ya Arusha Mjini ambayo hawakubaliani nayo.

Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini.

 

Views: 345

Tags: LEMA, MBOWE, MIKONONI, MWA, NA, POLISI, UCHAGUZI

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Mr Maige on February 17, 2011 at 10:33pm
Kila ki2 kina mwisho! Sasa wa Tz wamechoka kudanganywa mithili ya vifaranga vya kuku kila siku nyonyo kesho
Comment by benny tungaraza on February 12, 2011 at 12:24pm
kupiga sio dawa dawa ni kuangalia jamii na wakati wataka nini....unaweza ukamaliza risasi na nguvu ya waandamanaji isiishe...mubarak wa misri ametumia kila mbinu na amesalimu amri...
Comment by nkurufi on January 18, 2011 at 12:14pm
CHADEMA UZI HUOHUO USIACHIE
Comment by julietta munne on January 18, 2011 at 12:13am
kazi ya polis ni kulinda amani na kutetetea haki za binadamu katika nchi. Wangepaswa kujiunga na waandamaji kutetea haki.
Comment by mbunge wilygody on January 17, 2011 at 5:55pm

this tanzania thissss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Comment by levina nestory on January 8, 2011 at 12:05pm
Polisi walifanya kitendo cha ajabu sana kwani walirusha mabomu ovyo ovyo na risasi za moto. Nilishuhudia kaka mmoja maeneo ya metropo alipengwa vibaya sana
Comment by Rajabu Ally on January 7, 2011 at 1:29pm
sawa 2
Comment by Joeli Simion on January 6, 2011 at 1:15pm
Watanzania
Dalili ya mvua ni mawingu
Comment by TZ on January 6, 2011 at 7:47am
Unajuwa uzuri wa TZ nikuwa watu ni waumini wa dini sasa kufanya mambo ya kipuuzi puuzi ya kutoana roho sio rahisi kwa kuwa kila mmoja hurudi nyuma na kufikiria kuwa duh hii sio haki dini yangu imenikataza na ndio hawa viongozi wa kujuwa hilo wanachukuwa advantage lakini ipo siku Mola atawapeperusha wote hawa wasioitakia mema nchi yetu. Mungu ilinde Ttz Mungu walinde WaTZ AMINA
Comment by KIRIMENI on January 6, 2011 at 7:22am

siku inakuja THE DAY IS COMING???????????????????????????

WIZI NA UJANJA UJANJA UTAISHA NA AGIZO LA AZIMIO LA ARUSHA LITAFUFUKA

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }