Sikuzani Kibwana akiwa amelazwa nje kupata ubaridi.
Mwanafunzi mwenzake akimsubiri azinduke.
Mandhari ilivyo nje ya chumba cha Intanet.
MWANAFUNZI aliyekuwa kidato cha nne Shule ya Sekondari Morogoro inayomilikiwa na serikali, Sikuzani Kibwana, leo ameanguka ghafla na kupoteza fahamu katika chumba cha Intanet baada ya kusoma matokeo na kujikuta amefanya vibaya kwenye mtihani huo ambapo alioongozana nao wote wakiwa wamefanya vizuri.
Mwandishi wetu alishuhudia tukio hilo kwenye chumba cha Intanet cha Valentenes karibu na Uwanja wa Jamhuri katika Manispaa ya Morogoro ambapo wanafunzi wa shule mbali mbali walikuwa bize kuangalia matokeo ya kidato cha nne mwaka 2011 yaliobandikwa jana kwenye mtandao na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
Mwanafunzi huyo alianguka na kupoteza fahamu na kuzua taharuki kubwa kwa watu wote waliokuwemo ndani ya chumba hicho.
Wanafunzi wenzake walimtoa nje ili apigwe ubaridi na kuwapigia simu wazazi wake.
Hadi mtandao huu unaondoka hapo, mwanafunzi huyo alikuwa bado hajazinduka.
NA DUNSTAN SHEKIDELE, GPL, MOROGORO.
Comment
Comment by Anoldius Paulo on February 16, 2012 at 5:14am kuulie poa 2na kufail na kufaulu achuk
Comment by Dongonyo Juniour on February 10, 2012 at 4:12pm Pole sana; hayo ndio madhara yanayowakuta vijana wa sasa kuchanganya mambo kwa wakati mmoja starehe + Masomo usitegemee upate matokeo mazuri na hasa wezangu na mie wenye akili za kushikiliwa kwa gundi ya uji
Comment by lumi mwandelile on February 10, 2012 at 2:30pm pole sana, ulichopanda ndicho ulichovuna
Comment by matura Matara on February 10, 2012 at 4:44am Too bad hata huu mtandao haujaweza kumsubiri aamke au kufuatilia kujua anaendeleaje? Hii inaonyesha jinsi gani Global mlivyokosa enough skills, Yaani mmeshindwa hata kumtafutia doctor kujua kama kazimia, au kama kapata ukonjwa wowote wa kuanguka like stroke, heart attack etc??? ndo kwanza Global mkaamua kuondoka, U dont care about anyone,just wanna sell ya news. SHAME ON YOU GLOBAL, SHAME ON YOU.
Comment by Ukweli100 on February 10, 2012 at 4:05am pole binti
Comment by Ukweli100 on February 10, 2012 at 4:04am nyie jpl kazi kuchukua picha tu, hakuna jitihada zozote za kiafya ambazo mngeweza kufanya??wtf
Comment by samora rajab albert on February 9, 2012 at 9:41pm heh hatari pole sana
Nakubariana na wewe KAKA kwani kuferi mtihani haimaanishi alikuwa mjinga...Inawezekana alikuwa anajiweza ila tu siku ya mwisho mambo yakawa mabaya mbona watu wengine vyuoni huwa wanaingia kwa pre entry harafu wanakimbiza
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
Sili Silali |
| 5 |
IL-YA |
| 6 |
chama baby |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
kaka |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Kelvin Luhala Eto'o |
othman Ochu posted a status
mrembo commented on Sili Silali's photo

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers