MASTAA WA FILAMU WAANZISHA DANGURO

Zuwena Mohamed ‘Shilole’.

Aunt Ezekiel.

Elizabeth Michael ‘Lulu ’.

Ruth Suka ‘Mainda’.

Na Mwandishi Wetu
KLABU ya Bongo Movie, ilitajwa kuwa kiunganishi cha wasanii hai wa filamu katika kusaka mafanikio na kujitolea kufanya kazi za kijamii, lakini yameibuka madai kuwa muunganiko huo hauna tofauti na danguro.
Madai hayo yamemenywa na kubaki kuwa maudhui yanayotajwa kuunda kundi hilo ni danganya toto.
Vyanzo visivyo na shaka vimedondosha nyeupe kuwa uchafu unaofanywa na baadhi ya mastaa wanaounda Bongo Movie, hauna tofauti na vitendo vya danguro.
Baadhi ya wasanii wanaounda klabu hiyo wanadaiwa kuzungukana wao kwa wao kimapenzi.
“Mimi nimekataa kabisa, pale Bongo Movie ni kama nipo au sipo, hawanishirikishi kwenye mambo yao,” alisema msanii mmoja wa kiume kwa sharti la kutotajwa jina.
Aliendelea: “Mapenzi yanachukua nafasi kubwa pale. Niliwahi kuanza uhusiano na msanii mmoja, tukashiriki tendo, ghafla jamaa mwingine naye akamchukua. Mimi nikaona kinyaa, nikaachana naye.
“Huwezi kuamini mpaka sasa msanii huyo wa kike ameshatembea na wanaume wanne, watu hawana aibu hata kidogo. Wapo wasanii wa kiume pale wameshatembea karibu na mabinti wote.
“Kuna watu wana wake zao lakini wanafanya mambo ya kushangaza. Fuatilia utagundua, wanaume ambao siyo wasanii, wengi wameachana na wapenzi wao kwa sababu ya hali halisi. Mtu ana mume wake, akifika Bongo Movie anaanza kutoka na wasanii wenzake, mume hawezi kukubali, anabwaga manyanga.”
Wakati hayo yakisemwa, ilidaiwa kwamba ugomvi wa maastaa wawili, Steven Kanumba na Aunt Ezekiel, chanzo chake ni mapenzi, kwani walianza tabia ya kuoneana wivu ndani ya klabu.
Ilinyetishwa kuwa vitendo vya ufuska ndani ya Bongo Movie, hutekelezwa zaidi usiku, Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam.
“Wengi wao wanamiliki magari, kwa hiyo huwa wanafanya ufuska humo. Kama una kinyaa, huwezi kuvumilia, ila ukiwa unapenda uchafu, basi panafaa,” alisema mtoa habari wetu mwingine.
Aunt, alipoulizwa kuhusu vitendo hivyo, alikiri Bongo Movie kugeuka danguro, akaongeza: “Ndiyo maana mimio nimejitoa.”
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ naye alikiri kuwepo tabia hiyo, akafafanua: “Mimi nashiriki asubuhi, tunafanya mazoezi ya mpira, wengine wanakutana usiku Leaders, hao ndiyo wanafanya ufuska, kwa hiyo mimi simo kwenye kundi hilo la usiku.”
JB: “Kuna kitu kinatubomoa Bongo Movie ndiyo maana mambo hayo yanasemwa, ukweli hii klabu imesaidia kupunguza uhasama wa wasanii kwa wasanii, maana wanakutana pamoja.”  
Jack Wolper: “Mimi nina zaidi ya miezi miwili sijakwenda Bongo Movie, nina kazi zinazonibana. Kwa upande wangu hata nikiwepo siwezi kuthubutu kutembea na mfanyakazi mwenzangu.”
Elizabeth Michael ‘Lulu ’: “Mtu kufanya mapenzi ni uamuzi wake, haina uhusiano na Bongo Movie.”
Sabrina Rupia ‘Catty’: “Umoja wa Bongo Movie unafurahisha, hilo suala la ngono na kuita danguro ni watu wachache wanaotaka kutuharibia.”
Single Mtambalike ‘Richie’: “Kwanza mimi nitakuwa mkali kama kweli hilo lipo. Naamini wanaosema hivyo ni wale wanafiki, wenye chuki na roho mbaya. Bongo Movie itadumu.”
Halima Yahya ‘Davina’: “Mimi sijui lolote, unajua mambo ya mapenzi ni siri, inawezekana wapo wanaopanga kufanya hivyo, lakini wanafanya siri, sisi wengine tutajuaje?”
Ruth Suka ‘Mainda’: “Kwa kweli kama kuna danguro sijui, ila Bongo Movie si danguro, kwani wasanii wakichukuana wenyewe kwa wenyewe ni danguro?”

Views: 3963

Tags: amani11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by godifrey michael lasway on February 17, 2012 at 3:17pm

me naona hata nje ya hiyo bng mv bd ni umalaya tu,fikiria lulu alivyoingia kwenye hiyo mambo mapema

Comment by Anoldius Paulo on February 16, 2012 at 4:47am

ustaa wa bongu uchafu m2pu

Comment by Matilanga Lukingita on February 10, 2012 at 10:52pm

Jamani sasa hiyo reception ya Shilole ukijumlisha na kalio lake, wallah nikijikwaa mama watoto anisamehe jamani. Mzigo unatisha huo. Acha danguro lifanye kazi yake!

Comment by bernard mhada on February 10, 2012 at 11:37am
Enyi wasanii angalieni na ukimwi mtagawana hivyo hivyo.
Comment by Ukweli100 on February 10, 2012 at 4:17am

mmmh, kinyaaaaaaaaaaaaaaa

Comment by Gerrardinho Robert on February 9, 2012 at 11:39pm
Je, kwakuanzisha madangulo mnaifundishaninijamii? Acheni hizo.
Comment by Gerrardinho Robert on February 9, 2012 at 11:36pm
Hivi mmesahau kwambanyie ni kioo chajamii, kwakuanzisha madangulo mnaifundishanini jamii?!! Acheni hizo!
Comment by samora rajab albert on February 9, 2012 at 10:18pm

loh hatari hii yaani uchafu mtupu

Comment by kaka on February 9, 2012 at 4:55pm

HAPO KUNA KITU SI BURE

Comment by INNOCENT FRANCIS on February 9, 2012 at 4:45pm

The world of sins !!


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
5 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
5 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website