MAMA YAKE KANUMBA ALIVYOPOKEA TAARIFA ZA MSIBA WA MWANAE HUKO BUKOBA

Mahojiano ya Wadau Bukoba Blog na Mama Kanumba, ndugu na jamaa kuhusu kifo cha Steven Kanumba kilichotokea usiku wa kuamkia jana nyumbani kwa Kanumba Vatican jijini Dar es Salaam.

VIDEO KWA HISANI YA WADAU BUKOBA BLOG

Views: 2280

Tags: KANUMBA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Frank Fungamenza on April 10, 2012 at 6:07am

Pole sana mama,kazi yake mora haina dosari wala makosa.Ila nyie mliomhoji mama siku moja baada ya kutokwa na mwanae,inaonekana mmeshuka leo mjini!!! mtamhojije leo na mwanae kafa jana??? tena mlivyo na haraka utafikiri mnaoga nje,mama bado yupo airport nyie na makorokoro yenu tayari mahojiano!! kwani kusubiri!! aah acheni zenu hzo bna aah! mm sijapenda kabisa hk kitendo! haraka haraka utafikiri dala dala za Mwenge-Posta!! aah!

Comment by Mawazo Katota on April 8, 2012 at 11:37pm

Poleni wadau wa Tasnia ya Filamu Tanzania na Africa kwa ujumla

Comment by esther on April 8, 2012 at 3:17pm

Pole sana mama MUNGU akutie nguvu

Comment by samora rajab albert on April 8, 2012 at 1:08pm

jamani inasikitisha sana anaaga anasafari ya marekani kumbe si marekani, alikuwa na safari ya mbali

Comment by Edwina Edwin on April 8, 2012 at 10:33am

Jamani huyu mama kanumba ananiliza mimi .. pole sana mama Mungu akutie nguvu.

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }