MAMA KANUMBA AMBARIKI MRITHI WA MWANAYE

MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ametoa baraka zake kwa mwigizaji chipukizi, Philemon Lutwaza ‘Uncle D’ ambaye anatarajia kuigiza katika filamu ya After Death ambayo ni maalum kwa kumuenzi marehemu mwanaye, Imelda Mtema anashuka nayo.

Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa.

Akizungumza na paparazi wetu juzikati, mama Kanumba ameweka plain kuwa ameridhishwa na uwezo wa Uncle D na anaimani kuwa ataweza kuziba pengo la marehemu katika nafasi ya kucheza na watoto wale aliokuwa akiigiza nao marehemu.

Philemon Lutwaza ‘Uncle D’.

“Namshukuru sana Jacqueline Wolper kwa kuandaa filamu ya After Death maalum kwa ajili ya kumuenzi mwanangu. Nina imani kila kitu kitakwenda vizuri na mimi nimewapa baraka zote ,” alisema mama huyo.

Views: 3149

Tags: mchanganyiko11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Mathilda Kayagambe on December 18, 2012 at 1:43pm
Kanumba atabaki kuwa Kanumba tu na hatatokea milele kama Kanumba.
Comment by beatrice Thomas Kereth on December 17, 2012 at 12:16pm

Hongere mama

Comment by mayalilwa on December 14, 2012 at 5:08pm

Tunamtakia safari njema Uncle D katika tasnia ya filamu, ila awe makini asije akafuata nyendo zote alizokuwa akifanya marehemu.

Comment by julius manning on December 12, 2012 at 7:49pm

poa namtakia kila laheri

Comment by mamushka on December 12, 2012 at 3:50pm

jamani poleni sana na harakati hizi

Comment by nellicy maluli on December 12, 2012 at 2:01pm

Pole sana mama bado tunahisi machungu yaliyomo moyoni mwako, japo ni vigumu kusahau lakini unajitahidi sana kujifariji kwa kufanya mambo mbalimbali. MUNGU BABA AZIDI KUKUTIA NGUVU NA KUWA JASIRI DAIMA.

Comment by FURAHA TAUSI on December 12, 2012 at 11:22am

hilo nalo neno

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }