MAKAMU WA RAIS DK BILAL AWAAGA MAHUJAJI

Makamu wa Rais, Dk. Ghalib Bilal akizungumza na Mahujaji muda mfupi kabla ya kuondoka.

Baadhi ya Mahujaji wakimsikiliza Makamu wa Rais (hayupo pichani).

Makamu wa Rais, Dk. Ghalib Bilal akiwa na viongozi wa msafara huo wakifanya dua kabla hawajaanza safari.

Viongozi wa Kampuni ya ndege ya Fly Emirates ambao ndio wadhamini wa safari hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais.

  Dk.  Ghalib Bilal akimkabidhi mmoja wa Mahujaji msahafu uwanjani hapo.

MAKAMU wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Ghalib Bilal, jana aliwaaga Mahujaji wa dini ya Kiisilamu waliosafiri kwenda  Hijja huko Makka nchini Saudi Arabia. Tukio hilo lilifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini, Dar.

(PICHA: ERICK EVARIST/GPL)

Views: 290

Tags: AWAAGA, BILAL, DK, MAHUJAJI, MAKAMU, RAIS, WA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Andrm on October 16, 2012 at 12:19am

Safi sana hii. Ndugu zangu, nawaomba mkaniombee nami na watanzania kwa ujumla. Tunaimani nanyi, hivyo nanyi tunawaomba msitusahau kwa sala zenu zote huko. ALLAH awalinde kwa mabaya yote. Kila la KHERI ndg. zetu.

Comment by frank manata on October 15, 2012 at 12:21pm

Hii ndio sura nzuri ya waisilamu sio wale waliokwenda kuchoma makanisa.Mungu wafikishe salama na warudishe salama.Amen

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }