‘MAISHA PLUS’, ‘MAMA SHUJAA WA CHAKULA’ YAZINDULIWA NA WAZIRI MALIMA

Waziri Malima akizungumza jambo baada ya kufungua shindano hilo.

Wanawake 12 wa shindano la  ‘Mama Shujaa wa Chakula’ wakifaidi madafu.
Mratibu wa shindano hilo Masoud Kipanya akiongea na wageni waalikwa waliofika kijijini hapo.

Waziri akisalimiana na wanawake wa ‘Mama Shujaa wa Chakula’ waliotoka mikoa mbalimbali.

Naibu Waziri wa Watoto na Jinsia, Tunu Waziri ( wa pili kulia) akitazama baadhi ya kazi za kina mama washiriki.

Baadhi ya nyumba watakazoishi washiriki

Kikundi cha ngoma kikitoa burudani katika hafla hiyo.

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika,  Adam Kighoma  Malima,  jana alizundua  shindano la kumsaka mwanakijiji halisi  anayejua kukabiliana na shida mbalimbali za maisha  liitwalo  ‘Maisha Plus’  katika kijiji kimoja ambacho ni mapema mno kukitaja  kwa sasa.
Adam aliongozana pia na Naibu Waziri wa Watoto na Jinsia, Tunu Waziri ,  ambaye  aliwawakilisha wanawake katika shindano la 'kusindikiza' mpambano huo  lijulikanalo kama ‘Mama  Shujaa wa Chakula’ ambapo kina mama hao watakaa kijijini hapo siku kumi na tano kabla washiriki  hawajaanza kukaa kwenye jumba maalum.  Mshindi wa kundi hilo la wanawake atakaa mpaka mwisho wa shindano zima la 'Maisha Plus'.
                                                       PICHA: IMELDA MTEMA, GPL

Views: 405

Tags: CHAKULA’, MALIMA, NA, PLUS’, SHUJAA, WA, WAZIRI, YAZINDULIWA, ‘MAISHA, ‘MAMA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by mammy on October 4, 2012 at 10:22am

safi

Comment by julius manning on October 3, 2012 at 2:47pm
mambo haya mnavunja ndoa za watu hivihivi !!!
Comment by FURAHA TAUSI on October 3, 2012 at 2:32pm

naona inafanana na ile ya bibi bomba

Comment by Tatu Majaliwa on October 3, 2012 at 1:53pm

big up masud

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mayalilwa Mar 8. 26 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service