MAIMARTHA JESE AFUNGA NDOA KWA SIRI

Na Imelda Mtema
MTANGAZAJI ‘the big name’ Bongo mwenye kibendi cha miezi kadhaa, Maimartha Jesse (pichani), amefunga ndoa kwa siri na mchumba wake aliyetambulika kwa jina moja la Shaa, Ijumaa limeinyaka.
Kwa mujibu wa chanzo cha ndani kilichohudhuria tukio hilo, ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa Katoliki Kigomboni, Dar es Salaam, juzi na kuacha watu midomo wazi kufuatia kufungwa kinyemela bila mashosti wa Mai kutonywa huku kukiwa na ulinzi mkali.
“Unajua mimi mwenyewe nilishtukizwa tu, ishu ni kwamba kila kitu wadau walikuwa wanashirikishwa hadi kibaokata, lakini Mai huwa hakosi shughuli za watu, sasa iweje ya kwake awapotezee?” kilisema chanzo hicho.
Kiliendelea kudai kuwa, baada ya kufungwa kwa ndoa hiyo ambayo ilikuwa na pande mbili tu za familia ikihudhuriwa na watu wachache na mastaa kupotezewa, wanandoa hao waliwakaribisha waalikwa katika kiwanja maalumu kilichoandaliwa ambapo waligonga madikodiko na baadaye kila mtu akatawanyika kivyake.
Ijumaa lilipomtafuta Mai aliyewahi kutamba akiwa East Africa Radio na TV na baadaye TBC1, alikiri kufunga ndoa hiyo lakini hakuwa tayari kudadavua zaidi.

Views: 7162

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by pjoan audes on February 12, 2012 at 11:49am

Kinachotakiwa ni ndoa sio kujaza kiwingu cha watu ni umbea tu!

Comment by Dongonyo Juniour on February 10, 2012 at 4:40pm

Kwani ndoa mpaka ujaze watu? nakupongeza sana dada Mai kwani hayo ndio mambo yanayotakiwa sasa sio kufuja mali halafu baada ya mwaka ndoa kushney

Comment by Edna Venant on February 10, 2012 at 8:26am
Hongera sana na umefanya la maana kutotangaza ndoa yako kwa mastaa. Matangazo hayasaidii chochote.
Comment by vedasto oresto on February 9, 2012 at 11:14am

dah....ndivyo ilivyo kilicho kizur 2ige kilicho kibaya 2kiache.kaz kwenu wadau wa huyo mhusika.


Comment by Eddie Mourice Junior on February 9, 2012 at 8:23am

Hongera shemla wetu wa ukweeenh....mungu awajalie ndoa yenu iwe ya amani na idumu milele.!

Comment by DINA FLAMINGO on February 8, 2012 at 7:31pm

hongera mwaya..kwani mnataka harusi yake ili iweje?

Comment by sophy on February 8, 2012 at 12:54pm

Mai alitamba sherehe yake itakuwa bomba kuliko ya Irene Uwoya imekuwaje ameamua kufanya siri. Hata hivyo hongera kwa kufunga ndoa.

 

Comment by Rose Kalwera on February 8, 2012 at 12:44pm

Ongera sana dada angu,

Comment by kaka on February 7, 2012 at 9:53am

NAYE KAPATA PA KUSEMA NA MIMI NILIOLEWA

Comment by Sam Gesha on February 6, 2012 at 1:31pm

Nakupongeza ulivyowapotezea mastaa kwani ni wanga watakuharibia ndoa yako keep it up achana nao we ni mke wa mtu sasa......


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
5 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
5 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website