KWA MENYU HII AMAVUBI HAWATOKII!!

Kutoka kushoto ni Jabir Aziz, Yusuf Soka, Nahodha wa Stars Shedrack Nsajigwa ‘Fuso’ na Kigi Makasy wakipata msosi.

Beki wa kushoto wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ Juma Jabu ‘JJ’ akipata msosi wa mchana hotelini hapo .

Beki wa kulia wa Stars Salumu Kanoni (kushoto) akiwa na Uhuru Selemani wakati wa 'Lunch' hotelini The Atriums.

Basi la Stars likiwa limepaki ndani ya hotel ya The Atriums likisubili wachezaji kabla ya kwenda mazoezini.


Views: 81

Tags: AMAVUBI, HAWATOKII!!, HII, KWA, MENYU

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by aha on April 28, 2010 at 11:18am
lkn cdhan km msosi huo una[aswa kusifiwa,naona km hatuna mpanga chakula bdo ktk timu ya taifa,msos huo ni km c wa kumjenga mchezaji make km kipsi kuku,cjui lbd ndo bongo bonge la msosi.we anselm unamatatizo kjn,msos km huu hamna yanga ndo maana ikitaka kucheza na simba wanaenda kukaa holiday inn na hapo hapo mkishindwa kulipa kocha mshahara,naona uongozi mzima yanga akili hamna,na wote exposure yenu bdo sana yanga makopo!
Comment by Anselm on April 28, 2010 at 8:50am
By the way hawa madogo wana ulinzi wa kutosha kweli? manake pale Opposite na Hotel waliyoweka kambi kuna zile bidhaa zetu za kumwaga,zisije kuwafanya wakatutia aibu kwa Amavubi siku hiyo hilo basi lao litakuwa halitoki siyo wanafurahia kula kodi zetu tu.
Comment by Anselm on April 28, 2010 at 8:47am
He he he he,kama mwendo wenyewe ndo huu matumbo ya watu kama Salum Kanoni lazima yatakuwa yanashtuka sana ksbb chakula cha aina hii ni nadra sana kupatikana kule kwenye kambi ya Club yao ya Simba.
Comment by mkwavi mkwavinga on April 27, 2010 at 9:54pm
jamani ndio maana tunafungwa sana hawa vijana hawapati menu za kisipotyyyyyy ubavu haupatikani kwa chipus mayai kaaaa!!!! kumbukeni hata ngasa hakukubaliwa na wsthm sababu ya lishe naomba club husika kaangalia upya jambo hili
Comment by thebabeltower on April 27, 2010 at 7:51pm
mzee king kutumia uma sio kipimo cha ulelewa wa jambo fulani......acha kuteswa na utamaduni wa kimagharibi
Comment by Nicholas on April 27, 2010 at 7:08pm
Kweli ukizingatia nyama yenyewe haina mfupa.Nafikiri wanatakiwa kujifunza.Kuna mtu mmoja aliniambia kuwa yeye akitumia kijiko au uma hashibi.Labda na wao wasingeshiba
Comment by King on April 27, 2010 at 5:17pm
Wazee hamjui hata kutumia vijiko na umma?
Comment by Honest K. Baitani on April 27, 2010 at 3:29pm
Duh SI msosi tu huduma kwa ujumla ziko juu sana. Hope watafanya kweli.

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ Dec 16. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 13 hours ago. 13 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by maleka sakeha yesterday. 30 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson 11 hours ago. 13 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 13 hours ago. 38 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }