Msanii kutoka DRC Antoine Christophe Agbepa Mumba, 'Koffi Olomide' akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Tusker Carnival.

Wanamuziki wa Koffi Olomide wakilishambulia jukwaa katika tamasha la Tusker Carnival usiku wa kuamkia leo.

Msanii mahiri wa Koffi Olomide, Cindy akiwa jukwaani kukonga nyoyo za mashabiki.

Nyomi iliyohudhuria tamasha hilo ikiserebuka sambamba na Koffi Olomide (hayupo pichani).

Mwanamuziki wa Twanga Pepeta akiwarusha roho mashabiki.

Bendi ya Diamond Musica ikishusha burudani katika tamasha la Tusker Carnival usiku wa kuamkia leo ndani ya Leaders Club.

Koffi Olomide akicheza sambamba na mrembo jukwaani.

Wanamuziki wa Koffi Olomide wakiwa katika pozi kabla ya kupanda jukwaani.

Koffi Olomide akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya SBL ambao ndiyo wadhamini wakuu wa tamasha la Tusker Carnival.

Umati wa watu ukipagawa na burudani kutoka kwa msanii Koffi Olomide.

Msanii wa Koffi akiwapa raha mashabiki.

Mrembo huyu akipozi wakati wa tamasha hilo.

...Huyu alizima gari.

(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL)

Views: 2173

Tags: KOFFI, OLOMIDE

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by lumi mwandelile on January 4, 2013 at 11:36am

mambo ya kula raha hayo

Comment by pjoan audes on December 18, 2012 at 9:19pm

Mimi nasikitika niliibiwa laki mmoja mumo mumo nikijichanganya wajameni loh!

Comment by EMMANUEL ELLY MWAKYUSA on December 17, 2012 at 4:50pm

kweli mpe POMBE maskini asahau shida zakeee MUKULUUUU KOFFIE OLOMIDE LE GRANDE AFRICAN STAR mona kakaka kalaa kakakaaaaa uko juuuu

Comment by busimba on December 17, 2012 at 4:42pm

Raya ya pombe kulewa, na ukishalewa unazimika

Comment by willy on December 17, 2012 at 3:27pm

UNAJUA BWANA MUKUBWA KOFII

Comment by willy on December 17, 2012 at 3:26pm

TUACHE UWONGO HUYU JAMAA NAJUA KUIMBA NA AMEKAA KWENYE GEMU MUDAMREFU NA ANA NYIMBO KALI KIBAO KALI

Comment by Martin Lukanga Mazula on December 17, 2012 at 1:45pm

Hayo ndomauaji ya Koff, Huyo ndo kwisha habari yake na Tusker

Comment by Mawazo Katota on December 17, 2012 at 1:18pm

Loooh Wabongo kwa starehe balaa! Laiti tungekuwa namoyo wa namna hii katika kufanya kazi natumaini tungeigeuza Bongo Paris ya afrika.

Comment by Mtakajibu Njemba on December 17, 2012 at 3:53am

Injini "imenoki". Unafanya mchezo na pombe.

Comment by majuto on December 16, 2012 at 8:08pm

nakukubali sana mtu mzima wewe hauna mupizani african bwana koffi olomide

ADVERTISEMENT

Advertisement

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

Latest Activity

tina babi left a comment for GOODLUCK SAVUTU
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
11 seconds ago
tina babi left a comment for marko mwalongo
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
59 seconds ago
tina babi left a comment for Amani Mkiramweni
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
1 minute ago
tina babi left a comment for Yussuf Ame
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
1 minute ago
tina babi left a comment for ADOLPH MAHWERA
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
1 minute ago
tina babi left a comment for haji shehe (ustadh
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
1 minute ago
tina babi left a comment for Van Lusiu
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
1 minute ago
tina babi left a comment for Cardofather Marwa Castory
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
3 minutes ago
tina babi left a comment for Andrew Mangowi
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
3 minutes ago
tina babi left a comment for charles godfrey
"tinalutunku@yahoo.com Hello, My name is Miss tina lutunku. i saw your profile today and become…"
3 minutes ago
tina babi left a comment for philibert matungwa
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
3 minutes ago
tina babi left a comment for Ahmed Salum
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
4 minutes ago

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service