Stori: Mwandishi wetu

WAKATI masuala ya ushoga yakipingwa kwa nguvu zote hapa nchini, skendo ya aina yake imeikumba serikali baada ya siri kuvuja kuwa mmoja wa viongozi kumi wa juu nchini ni shoga.

Taric Jumbe akitoa ushuhuda jinsi alivyofanya mapenzi na kigogo huyo.

Habari hizo za kushtua na kufedhehesha taifa ambazo zimefanyiwa kazi na dawati la Ijumaa kwa kushirikiana na kitengo cha OFM cha Global, zilitua hivi karibuni chumba cha habari kupitia kwa kijana aliyejitokeza na kueleza alivyofanya mapenzi ya jinsia moja na kigogo huyo ambaye jina lake linahifadhiwa kwa sasa.

KIJANA HUYO NI NANI?
“Mimi naitwa Taric Jumbe, nina miaka 21, nimefika hapa kutoa ushuhuda wangu kuwa nilifanya mapenzi na... (anataja jina), tulianza kuchat kwenye Facebook, akaniomba urafiki, nikamkubalia nikijua ni wa kawaida tu.

“Baadaye akaanza kunitongoza na kuniahidi fedha nyingi, nikakubali. Siku ya kwanza tulikutana Dar, Hoteli ya Serena, akanielekeza chumba alichopo (anataja namba ya chumba), nikaenda na kuwakuta walinzi wake, nilipojitambulisha wakaniruhusu kuingia chumbani kwake. Nimeshafanya naye mara tatu,” alisema kijana huyo.

JINSI WALIVYOWASILIANA
Mbali na matumizi ya mtandao wa kijamii, wanahabari wetu walitaka kujua mpaka kijana huyo anafika hotelini hapo, alikuwa akiwasiliana na kigogo huyo kwa njia gani? Jumbe akasema:
“Mwanzo nilikuwa nawasiliana naye kwa Facebook lakini tulipozoeana alinipatia namba zake za simu.”

Jibu hilo lilitoa mwanya kwa makachero wa gazeti hili kuperuzi mtandao wa simu ile ili kujua kama anayeitumia namba hiyo ni kigogo huyo au ni changa la macho.
Bila chenga ilibainika kuwa namba hiyo ni ya kigogo huyo, lakini ilipopigwa kwa lengo la kuwasiliana naye moja kwa moja, iliita bila kupokelewa na kuwafanya waandishi kuendelea na kazi ya kumhoji kijana huyo kwa kina.

Taric akiwa ndani ya Global kuelezea sakata hilo la kufanya mapenzi na kigogo serikalini.

KUHUSU MALIPO
Jumbe aliweka wazi kuwa siku ya kwanza kukutana naye alilipwa shilingi elfu themanini sambamba na ahadi kuwa wakati wowote atakapokuwa na shida awasiliane na kigogo huyo ambaye msafara wake huongozwa na pikipiki yenye king’ora na gari la polisi, kwa lengo la kuwezeshwa kimaisha.

Aliongeza kuwa kiasi kikubwa alichowahi kuhongwa ni shilingi laki tatu (300,000), huku akiainisha kwamba fedha nyingine alikuwa akipewa kidogokidogo kwa ajili ya kujikimu.

MSHANGAO MWINGINE
Mbali na kijana huyo kukiri kufanya mapenzi mara mbili na kigogo huyo hotelini, mshangao ulikuja pale alipoweka wazi kuwa mara ya tatu alimfuata kiongozi huyo nyumbani kwake ambako alishirikiana naye tendo hilo la aibu.

Waandishi walipotaka kujua waliwezaje kufanya uchafu huo nyumbani kwa kigogo huyo mwenye familia, Jumbe alisema: “Ni kweli anaishi na familia lakini nje ya nyumba yake ana ofisi, huko ndiko alikonikaribisha na kunifanyia mchezo huo.”

UPEKUZI WA MAWASILIANO
Baada ya maelezo hayo, waandishi wetu waligeukia uchunguzi wa mawasiliano ya simu na mtandao wa Facebook baina ya Jumbe na kigogo huyo ambapo walibaini kuwepo kwa mambo ya aibu kubwa.

Kwa macho maangavu, waandishi wetu walioneshwa meseji alizokuwa akituma kigogo huyo ambazo chache kati ya hizo zilisomeka: “Baby, mke wangu, honey,” huku Jumbe naye akichagiza majibu kwa mtindo huohuo hadi naye kufikia mahali pa kumwita kigogo huyo ‘mume wangu’, aibu iliyoje!

Kama hiyo haitoshi, wawili hao walifikia hatua ya kusifiana namna walivyoumbika na kupeana mapenzi motomoto na kuahidiana kuwa pamoja milele. Kufuru kubwa kwa Muumba!

WIVU HAUKUKOSEKANA
Katika hali ya kustaajabisha na kuonesha kuwa kigogo huyo amekubuhu kwenye mambo hayo, wakati mwingine akiwa nje ya nchi alidiriki kumuonea wivu kijana huyo ambapo mara kadhaa alituma meseji ya kutishia kumwacha kutokana na kile alichokiita ‘kutoka nje ya ndoa’.

Moja kati ya meseji hizo za fedheha kutoka kwa mheshimiwa huyo, ilimtuhumu Jumbe kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine, jambo ambalo kijana huyo alilikanusha na wote kuwekana sawa kwa lengo la kusonga mbele na uhusiano wao.

KIGOGO MZITO AHOJIWA
Baada ya kupata maelezo hayo ya kutisha na kusikitisha, kwa zaidi ya mwezi mzima, gazeti hili lilifanya juhudi za kumtafuta kigogo huyo ili kuweza kupata maelezo yake kuhusiana na mkasa huo.

Hatimaye, kwa namna ya kijasusi, Ijumaa liliweza kumfikia na kummwagia data zote, zikiwemo picha za kijana huyo na nakala ya mawasiliano katika mtandao wa Facebook ambapo alionekana kuduwaa.

Hata hivyo, kutokana na waandishi wetu kufanya mahojiano na kigogo huyo huku wapambe wake wanaomlinda na kumuongoza wakiwepo, haikuwezekana kufungua kila kitu wazi kwa vile mazungumzo hayo yalikuwa yakirekodiwa.

Baada ya kuoneshwa tuhuma zake kwa kutumia nyaraka, mheshimiwa huyo alikiri: “Nazifahamu hizi nyaraka.” Akimaanisha alichokiona kinamhusu kwa asilimia mia moja.

TAHADHARI
Tunapenda kuutaarifu umma kuwa tumeamua kulificha kwa makusudi jina la kigogo huyu ili kuilinda heshima yake ambayo ni kubwa katika jamii yetu. Tutaliweka wazi wakati wowote endapo kati ya mambo haya yatajitokeza.

Mosi, kijana huyo (Jumbe) atadhuriwa. Tunajua nguvu alizonazo mheshimiwa huyu ni kubwa, tunaomba kumfahamisha kwamba tutamuanika hadharani endapo Jumbe atafikwa na matatizo yoyote yasiyo ya kawaida.

Pili, endapo tutathibitisha kuwa anaendelea na mchezo wake huu usiokubalika na mwisho, endapo waandishi waliokwenda kufanya naye mahojiano, ambao yeye na wapambe wake wanawafahamu, watapata madhara yoyote

Views: 13387

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Said mayazi on April 1, 2014 at 2:06pm
Aiseeh hizo nazo ni fununu tuu na kutaka ustaa
Comment by verdiana moris on March 29, 2014 at 9:48pm

We jumbe ulikopwa mara ya mwisho nini? mbona ulipokua ukikubali na kwenda hukuanzia GPL ili uende nao wakaandike habari?

Comment by hope on March 24, 2014 at 12:56pm

GPL hamjatenda haki mumetoa picha ya kijana pamoja na jina lake chaajabu eti munaweka kapuni jina la kigogo hebu muanikeni na yeye afahamike hawa inabidi tuwapeleke kwa mseveni

Comment by Edwina Edwin on March 23, 2014 at 8:33pm

Global , heti mnaficha jina la kigogo kwa kuitunza heshima yake!

HANA HESHIMA YOYOTE HUYO KIGOGO.. MFICHUENI ILI VIJANA WA KIUME WAPONE.

MASHARTI YAO YA UCHAWI NDIYO YANAWASUMBUA KUFANYA MAPENZI NA WATOTO WA KIUME.

Comment by Ndegesha on March 23, 2014 at 6:58am

sikiliza video utafahamu nani anayefanyiwa, ao soma vizuri kafika kumwita kigogo mume wangu.

kijana jumbe ndo hata alianza na head master wake

Comment by Mteghanyi Kighobo on March 22, 2014 at 4:30pm

Ndegesha; shoga ni mwanaume anayefanyiwa kitendo cha kujamiana na mwanaume mwingine. sasa kwa stori hii shoga ni kigogo na huyu mtoto Jumbe ni basha. Nafikiri umetoka bara huelewi maana ya shoga na basha

Comment by Jodat King on March 22, 2014 at 1:59pm
Huyo kijana atakuwa katumwa na kigogo mwingine
ili aje hapo na kumchafua huyo muheshimiwa,
ila kijana ameyaweka maisha yake hatarini sana
kwa kutoa picha yake,big mistake gpl.
Comment by Ndegesha on March 22, 2014 at 7:07am

kajipeleka mwenyewe inaonesha wazi kuwa huyo kijana Alisha zoweya na huyo mchezo sio mwanzo

Comment by TZ on March 22, 2014 at 6:38am

Wewe kijana ni kweli unao wazee jata ufikie kujidhalilisha hivyo kwenye magazeti na kutia aibu familia yako wanaojigamba kuwa wana mtoto wa kiume shabab.

Sielewi kabisa kila nikipima kuwa unaweza kufanya hivyo sasa kama serikali itachukuwa hatua ya kuwashataki wote wawili na kwenda kunyia ndooni huko jela au ndio una uhakika wa huduma zote huko kwa kitendo chako?

Mola awahifadhi na kuwaongoza kwenye njia iliyonyooka hapa duniani.

Comment by penina mwailunda on March 21, 2014 at 6:09pm

Mk umeona eeh!!!!, kama ni motto wake angefurahi afanyiwe hivyo???

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by hiepelines Jul 4. 6 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Aug 15. 7 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Aug 15. 6 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by Joe reggan Apr 24. 2 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }