KESI YA PONDA YAUNGURUMA TENA LEO MAHAKAMANI KISUTU

Mmoja wa wafuasi wa Ponda akimlalamikia askari baada ya kuzuiwa kuingia mahamani.

Askari walioimarisha ulinzi barabarani wakati wa kesi.

Wafuasi wa Ponda wakijadiliana.
Ponda akiwa mahakamani.

.Akiwa ndani ya gari kwa ajili ya kurudishwa gerezani.
Raia akisombwa na polisi kwa sababu isiyojulikana.
Mbwa wa askari wakitaka kumshambulia raia huyo.

KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya za Kiislamu nchini, Ponda Issa Ponda, kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam leo ilitinga tena mahakamani hapo ambapo shahidi wa upande wa mashitaka, Sajenti Mkombozi Mhando alikuwa akitoa ushahidi wake dhidi ya watuhumiwa.

                                                   PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

Views: 1036

Tags: KESI, KISUTU, LEO, MAHAKAMANI, PONDA, TENA, YA, YAUNGURUMA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by DORAH FREDY on February 19, 2013 at 3:00pm
Na haki itendeke
Comment by kibaaa on February 19, 2013 at 2:21pm

MBONA WAUWAJI NA WATU WA COCAINE WANAPEWA DHAMANA KWA NN WAANDAMANAJI HAWAPEWI DHAMANA, FUATENI SHERIA SIO ITIKADI ZA KISIASA NA KIDINI KWA SHINIKIZO LA WATU FULANI. TATIZO NI NINI. USIMSINGIZIE MTU KITU AMBACHO HAJAFANYA, ALSHABAB IKO SOMALIA NA YEYE YUPO TANZANIA.

TUWE MAKINI SANA KATIKA MAAMUZI YETU NA SIO KUSHIKIWA BAKORA, TUSIFANYE KAMA SERIKALI YA MAREKANI KUWAHUKUMU WATU KWA SABABU ETI WANA NDEVU NDEFU. NA KUWAWEKA KIZUIZINI BILA HUKUMU HUKU WAO WAKIPIGA KELELE UTAWALAAAAAA WAKISHERIAAAAA NA DOMO- KRASIAAAA

Comment by Faridi Mohamed on February 19, 2013 at 10:17am

kila mwananchi ana haki ya dhamana, sababu zilizoelezewa kuwa ana uhusiano na Alshabab ni kitu hakiwezekana ila tunazidi kumpa umaarufu tu. Mbona Mtilikila anakutwa na masaiba kama haya lakini mara nyingi anapewa dhamana tusiwape nafasi wananchi wafikirie kwamba kunyimwa kwake kwa dhamana ni sababu ya kuwa muislamu. 

Comment by Salha Dennis on February 19, 2013 at 8:55am
Sheria lazima ichukue mkondo wake.
Comment by Matilanga Lukingita on February 18, 2013 at 7:50pm

Huu ndiyo utaratibu wa kesi kuelekea kufanyika kisheria badala ya maandamano ya kutoa shinikizo. Kama wana haki hawataporwa haki yao

Comment by tatu said on February 18, 2013 at 5:04pm

tunasubiri haki itendeke.

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }