SOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA

Views: 4202

Tags: uwazi11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Simoma on November 8, 2012 at 3:28pm

kuwa nusu msikiti si tatizo ktk ibada za dini zote haziruhusu mtu kuwa uchi wakati wa ibada, tatizo linakuja mbona wanachagua wana ibada wenyewe kuna nini hapa hii si ibada bale kuna ushetani ndani yake, mungu awalinde wana ibada wa ukweli. 

Comment by richardngeze on November 6, 2012 at 2:10pm

Hilo ndo kanisa la kusalia yaani bikira nje nje!

Comment by Bint Al Rubeiy on November 3, 2012 at 6:20pm

Wataka dini mbili zipotee kabisa ibakiye ya fremason, lakini katu uislam hautaondoka mpaka mwisho wa dunia I am believe on that!

Comment by pjoan audes on October 29, 2012 at 6:29pm

Hili ndio zuri kwani wazinzi watapungua mjini hapa

Comment by mayalilwa on October 25, 2012 at 7:35am

tuwe macho na haya makanisa yasije tukuta maafa kama yaliyokea katika kanisa la KIBWETERE wa Uganda, aliyeteketeza waumini wake kwa moto.

Comment by mnasa mohd on October 23, 2012 at 10:04pm

aliye leta hiyo dini mpya hana akili wala hajiwi lolote

Comment by David Wagwene on October 23, 2012 at 8:21pm

Nyakati za mwisho hizi wateule tuwe macho.. 

Comment by julius manning on October 23, 2012 at 7:14pm

haya maajabu ,makanisa na misikiti ilopo tu inaeleke akutushinda tena mnatulete mengine???!!

Comment by Zakayo Phillyx on October 23, 2012 at 5:15pm
Yaje 2
Comment by zide on October 23, 2012 at 3:46pm

mbona nusu msikiti wala kanisa

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Samson Mussa Jun 10. 2 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE May 20. 27 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Latest Activity

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service