Mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Igunga, Rostam Aziz katika uwanja wa SabaSaba mjini Igunga leo.


Kikwete akisalimiana na Wananchi wa Igunga.


Rostam Aziz akihutubia umati wa watu katika uwanja wa SabaSaba mjini Igunga.




PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOGSPOT

Views: 29

Tags: AMNADI, AZIZ, JK, ROSTAM

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by joshua job on October 2, 2010 at 11:43am
jamani ndo mjue kuwa wizi wa pesa zetu kama kawaida kwa sababu chama chetu hakioni hakisikii kelele za watu kuhusu mafisadi,tunawaona watu wachafu lkn viongozi bado wanasema wanafaaa watanzania huu ndo muda muafaka kutumia vizuri kura yako hiyo elfu 20 si kitu maisha yako ya miaka mitano ni bora zaidi --------BADIRIKA
Comment by GEMMA MSILU on October 2, 2010 at 10:55am
TUNACHOKITAKA NI MAENDELEO. ILA TATIZO LA HAWA WABUNGE WAKISHAINGIA MADARAKANI WANAJISAHAU SANA. JAMANI MUWAKUMBUKE WANANCHI KWANI NDIO WANAWAPIGIA KURA. BIG UP KIKWETE
Comment by mduduvule manyoya on October 2, 2010 at 5:31am
Shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Comment by Mohamed Abdulaziz on October 1, 2010 at 11:27pm
Endeleeni kuwapa kura waendelee kula!
Comment by moses sarai on October 1, 2010 at 11:18pm
kinachotakiwa afanyekazi vizuri kama atapita kwa kura za wananchi,,,,,ccm jamani hebu badilikeni sasa mshakula sana pesa za wananchi,,,,,,,onyesheni maendeleo kwa wananchi watu wamechoka
Comment by baba guilio cesar on October 1, 2010 at 6:07pm
SAFIIIIIII.......KIDUMU CHAMA CHA RICHMOND NA KAGODA
Comment by starman mtimkavu on October 1, 2010 at 6:03pm
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh nchi imevamiwa sio bure kazi ipo jmn
Comment by Sebastian Salatiel Shemhilu on October 1, 2010 at 4:36pm
HAPA NASHINDWA KUWAELEWA CCM,MAANA HAWA JAMAA MNASEMA NI MAFISADI SASA TENA MNAWANADI MH!!


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
4 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
4 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website