Jini Kabula: ‘stress’ ziliniingiza kwenye usagaji

Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’.

Na Shakoor Jongo
STAA aliyeibukia kwenye Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu ambaye haishiwi vituko, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa ‘stress’ kutoka kwa wanume ndizo zilizomfanya ajiingize katika vitendo vya kisagaji lakini sasa amejitoa katika mambo hayo.
Jini Kabula alisema hayo hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Mango Garden baada ya kutakiwa na mwandishi wetu aeleze sababu za kujiingiza katika mchezo huo mchafu unaokwenda kinyume na maadili ya Kitanzania.
Alisema kuwa, wanaume wasiojua kupenda ndiyo walimfanya akajiingiza huko kwani walikuwa wakimpa msongo wa mawazo na mwisho akajikuta ameshawishika kufanya mambo hayo.
“Unajua wanaume wakati mwingine wanachanganya sana, binafsi niliumizwa sana katika mapenzi ndiyo maana nikajiingiza huko ila kwasasa sihitaji tena kufanya mchezo mbaya kama ule kwani nilimkosea sana Mungu wangu na nimeshatubu, ila kama nilivyosema mara ya kwanza ni ‘stress’ za wanaume ndizo zilizonifanya nijiingize huko,” alisema Jini Kabula.
Siku za hivi karibuni msanii huyo aligandwa na skendo ya kujiingiza katika mapenzi ya jinsi moja kitendo kilichokuwa kikilaaniwa na watu wengi.

Views: 4520

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by kaka on February 27, 2012 at 10:00am

SASA JINI SASA UMEPATA BUZI HAKUNA STRESS TENA?

Comment by pjoan audes on February 24, 2012 at 4:50pm

Kwani sasa wanaume hawakupi tena stress?!

Comment by DORAH FREDY on February 23, 2012 at 3:31pm
hongera sanaaaaaaaaaa lakini angalia usije pata tena jaribu
Comment by DORAH FREDY on February 23, 2012 at 3:31pm
Duh kama kweli hongera ila angalia usije kuanguka tena
Comment by Kakytee The Director on February 23, 2012 at 2:07pm

usikubali kuburuzwa mwana wane , mchezo huo kharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammmmm

Comment by adam safari yusuph on February 23, 2012 at 2:00pm

hongera kama kweli umeacha ila pia nakushauri hata wanaume achana nao subiri uolewe huo ni uzinzi.

Comment by sophy on February 23, 2012 at 1:10pm

Ukishajiingiza katika mchezo kama huo kuacha ni bahati. Ila kama kweli utakuwa umeacha mshukuru Mungu.

 

Comment by Abas Mzumbasha on February 23, 2012 at 1:03am

ukitubu dhambi unasamehewa ila usirudie hapa ndo pagum na huyu kazoea tumuombe mungu amuepushe

Comment by ANDERSON SOGOLE on February 22, 2012 at 10:36pm
Una ujasiri mama
Comment by Juma Kabanda ( JK ) on February 22, 2012 at 4:08am

Ni hatua nzuri uliyochukua dada! Ulikuwa ktk majaribu, sasa fungua ukurasa mpya, tafuta mwanamume  mmoja wa uhakika akuoe ili msitiriane, kwani umri unazidi kuondoka! Kutubu kunakubalika ktk dini zote lakini huwezi ukatubu leo kesho ukarudi palepale tena huo utakuwa ni kumchezea Mungu! Tunakupongeza kwa uamuzi wako na tunakuombea mafanikio! Hao wanaokutukana ni watu wasiojua, kwani hakuna binadam aliyekamilika ila manabii (!!!), kila mmoja wetu ana mapungufu yake, baadhi ya hao ni kama nyani wanaowacheka wenzao kuwa vihende vyao makalio yao mekundu yao hawayaoni!!! Kama unadhani kuwa wewe umekamilika basi unajidanganya, ipo siku mambo yako yataanikwa pia!!! Mola akubariki dada yangu!!! Na kama ukitaka kusaidiwa kumpata mume basi tujulishe tutaweza kukupatia mume wa kukufaa!!!

 


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
11 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
11 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website