Mtuhumiwa wa kwanza kwenye ishu ya kutekwa na kuteswa kwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Dr Ulimboka Steven amekamatwa na jeshi la Polisi baada ya kujisalimisha kwenye kanisa la ufufuo na uzima la Mchungaji Jospephati Gwajima kwa lengo la kuungama dhambi zake.
Baada ya mtuhumiwa huyo ambae ni raia wa Kenya aitwae JOSHWA GITU MUHINDI kwa mujibu wa hati yake ya kusafiria kukamatwa, amekiri kuhusika kumteka na kumtesa Dr Ulimboka akiwa na wenzake 12 waliokodiwa na mtu anaehisi kuwa anatoka serikalini.
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova amesema walipata taarifa kutoka kwa wasamaria wema kuhusu kuwepo kwa mtu huyo ambae imefahamika ni mwanachama wa kundi la GANGSTAR lenye makazi yake Kenya na linaongozwa na Mtu anaetajwa kwa jina la SILENCER na sasa wanaendelea na uchunguzi zaidi.
chanzo na http://millardayo.com/ilichosema-polisi-kuhusu-aliekamatwa-kwa-kuhu...
Comment
Comment by john bosco on July 16, 2012 at 4:59am domo lako ndo lilikuponza ulimboka!!! hata mimi ningefiwa na mtu wakati wa mgomo ningekutafuta!!!
Comment by Bazil Bushiri (BABU) on July 15, 2012 at 12:21pm ULIMBOKA ALISEMA ALIKAMATWA NA KUTESWA NA WATU WATANO (5). SASA BABA KOVA HAO 12 UNAOSEMA WAMETOKA WAPI. TENA HAKUSEMA KAMA HAWAJUI KISWAHILI VIZURI. KWA MTZ LAZIMA ANGEJUA HAO SI WA TZ KUTOKANA NA WAKENYA HAWAJUI KISWAHILI VIZURI.
KOVA VEVE IKO DANGANYA TOTO DOGO SISI IKO KUBWA BABA NA DEVU ZETU.
Comment by Janeth Jr on July 15, 2012 at 11:55am Mm mmh! huyo mchungaji si ndie huwa anatoa vifaa wkt C>C>M ikihutubia? na ni mkereketwa wa ccm...hatudanganyiki!!
Comment by Chrisentus on July 14, 2012 at 10:49pm Ndiyo serikali yenu hiyo hata kudanganya hawawezi. Zamani niliipenda sana serikali hii lkn miaka kama 4 hivi sitaki hata kusikia nini wanasema hata taarifa ya habari nikiona tu wanaongea km si kuhamisha channel ni kuzima kabisa TV
Comment by Farahani Nangwa Mtiga on July 14, 2012 at 8:15pm Pole kaka ila na nyinyi madaktari mlikubali watu wafe kwa maslahi yenu, mkidai nyiyi ndio taaluma bora kuliko zingine.Huo ni uuaji pia.
Comment by Maji Marefu on July 14, 2012 at 6:27pm mmh serıkalı sı ılıkana sasa wapı?
Comment by Janeth Jr on July 14, 2012 at 5:46pm Hakuna kitu kama hicho!! hao wapo hapahapa nchini! huyo amenunuliwa tu ilikuziba watu midomo.. hiwezekani kirahisi rahisi watu hatari kama hao kukiri kirahisi hivyo!! utashangaa baadae atahukumiwa kifungo then ukienda gerezani hayumo na kudanganya kahamishiwa gereza lingine kumbe katolewa kinyemela..msitufanye watoto Tanzania ya leo si ya jana ..
Comment by Bazil Bushiri (BABU) on July 14, 2012 at 4:44pm SUGU aliongea bungeni kuwa Serikali inatumia vikundi kama JANJAWEED kuwamaliza wanaoipinga. Kuna wabunge CCM walipinga. SASA KIKO WAPI?
Embu jikumbushe hapa umsikie sugu. Fuatilia link hii: http://www.youtube.com/watch?v=jTEOs_cntc4&feature=youtu.be
Comment by Mtanganyika Masalia on July 14, 2012 at 2:35pm changa la macho
Comment by julius manning on July 14, 2012 at 1:16pm | 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
hope |
| 6 |
Tatu Majaliwa |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
Mishy chunga |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE yesterday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.




You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers