IJUMAA SEXIEST GIRL 2011/2012 JACK WOLPER AREJESHWA

HUKU mtifuano ukiwa  mkali kati ya Wema Sepetu na Agnes Masogange, wadau wengi wameomba msanii Jacqueline Wolper arejeshwe kwenye shindano hilo ili mshindi apatikane kutokea tatu bora.
Baadhi ya wasomaji wanaofuatilia kwa karibu shindano hili walisema, mshindi kati ya Wema na Agnes anaweza kupatikana lakini itanoga zaidi Wolper akarudi ili apatikane mshindi namba moja, mbili na tatu.
Kufuatia ombi hilo, sisi hatuna hiyana na tumeamua kumrejesha msanii hyo ambaye naye anaonekana kukubalika kwa wengi, kwani hata kutolewa kwake awali kulikuwa kwa mbinde sana.
Kufuatia hatua hiyo, sasa wasomaji watatakiwa kumpigia kura mrembo anayestahili kuibuka mshindi kati ya washiriki hao watatu. Ili kupiga kura, andika jina la mrembo anayestahili kushinda kisha litume kwenda namba 0786799120.

Views: 2118

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Sherry Eddy on September 24, 2012 at 9:18am

Agnes uko juu bhanaa lazima uwe mshindi.

Comment by David Wagwene on September 22, 2012 at 11:00pm

Wema na Agness mbogamboga mnazo kiukweli daaaah<mat*ko> Wolper jicho babaake..chagga girl lililopigwa chapa........

Comment by meggie impostra on September 22, 2012 at 5:49pm

hahahaha hamna mshindi hapaaa maana kama alitolewa kwenye shindano ataridhishwajee kienyejii na wkt anahitajikaa apatikanaee mshindiii kama hmn cha kufanyaaa wekeni watoto yatimaaaa basiii

Comment by Jerry Jerry on September 22, 2012 at 5:49pm

OK POUWA NA NNE?

Comment by David Wagwene on September 21, 2012 at 8:24pm

Hata aongezwe nani WEMA JUUUUUUUUUUUUUUU.NO 1:WEMA NO 2:AGNESS 3:WOLPER

Comment by Maria Maria on September 21, 2012 at 3:56pm

nyie GPL wajanja..... Mnamweka Wema no 1 Agnes no 2 namba tatu Wolper. doh!!!

Comment by edista joshua on September 21, 2012 at 3:26pm

wolper hakuna kitu

Comment by Mausito on September 21, 2012 at 3:19pm

Wema yupo juuuu

Comment by Nkuba Vicky on September 21, 2012 at 1:29pm

Agnes juuuuu

Comment by julius manning on September 21, 2012 at 11:40am
Wema domo baya

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by reyna mwamsiku Aug 6. 18 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by anilahsan Jul 19. 79 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by navarrohart Jun 8. 37 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by anilahsan Jun 26. 72 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Aicar Salewa May 23. 5 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by anilahsan Jul 12. 21 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

Latest Activity

dtsi100 posted a status
3 minutes ago
dtsi100 posted a status
6 minutes ago
Joe reggan posted a status
13 minutes ago
misu babu posted a status
14 minutes ago
GLOBAL's 15 blog posts were featured
15 minutes ago
dtsi100 posted a status
15 minutes ago
misu babu posted a status
18 minutes ago
dtsi100 posted a status
18 minutes ago
mjoanwee posted a status
26 minutes ago
rimjim posted a status
31 minutes ago
araf vai posted a status
38 minutes ago
araf vai posted a status
38 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service