Hivi Tanzania bila Ukimwi inawezekana?


Ni matumaini yangu hamjambo woote. nilistuka kidogo nilipoiona hii picha lakini baada ya kunagalia kwa makini baadae nikaona ni mambo ya kawaida. ukiangalia vizuri hawa ni mme na mke wa mtu just hwy wako kama mnavyowaona hapa.


Kwa mtazamo wngu kauli ya mheshimiwa rais wetu ya Tanzania bila ukimwi inawezekana itakuwa vigumu kutekelezeka. nimeamua kuwaletea wadau tulitazame hili na kulijadili. karibuni

Views: 134

Tags: Hivi, Tanzania, Ukimwi, bila, inawezekana?

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Hym G. on November 22, 2010 at 4:39pm
Hii picha nilitumiwa kwenye mail miaka mitano iliyopita, nilipoiona hapa nikaitafuta kwenye mail yangu kuona kama niyenyewe au lah! Loh! ni ile ile, ni picha ya zamani sana na ni fumanizi lililowahi kutokea huko Kenya!!!!!! Hahahahahahahaaaaa Ngono za Kenya na ukimwi wa Tanzania wapi na wapi?
Comment by Sarah G. Mwaipopo on November 22, 2010 at 2:33pm
kaka issa, vijijini watu(hasa watoto wa kike) wanawahi sana kuanza ngono, sasa tumaneni kwa waliokubuhu huko vijijini mkidhani kuvaa makanga ndo kutulia. tabia ya mtu tu, kwani huko ndo hawafumaniani? mi natokea kijijini, yaani huko ni balaa, afadhali hata mijini.
Comment by Ado zawadi on November 22, 2010 at 1:15pm
Tanzania tukubali tusikubali kukumbushana ni muhimu hata kama picha ili kuwa ya zamani au ya Kenya inaelimisha jamii. Wakati mlipo iona watu wengi walikuwa hawajaingia kwenye media. Sasa inawezekana watu wenye tabia hizi awe mama au baba akaona aibu na jamii ikabadilika kwa wale wenye tabia kama hiyo. Na tabia kama hio inatokana na tamaa, ukweli, nk. Hapa Tanzania wake kwa waume wanalia sana kuhusu vituko kama hivi. Mwandishi hongera chukua kumi bora. hii ni zawadi kubwa sana kwa watanzania kujua taarifa kama hizi. Serikali ingekuwa na uwezo ingetoa vijarida burre kwa jamii. Hapo hakuna cha kudhalilishwa wote wamependa na ndio matunda ya kiapo cha ndoa. Mtu ukiwa mkweli nimeolewa nimeoa inakupunguzia nini? Faida zote unafaidi wakati ukitaka labda kwenye tabia tuulizane. Kila mtu anatabia yake, mlezi yake nk.
Comment by FURAHA TAUSI on November 22, 2010 at 1:13pm
USIOMBE KUFUMANIWA JAMANI.
Comment by Rosset Godfrey on November 22, 2010 at 12:53pm
Kwa mimi ninavyoona Tanzania bila ukimwi haiwezekani, maana watu ni kama wamejitoa muhanga flani hivi. na hao kama ukifuatilia utakuta hata walikuwa hawatumii kondomu. yaani jamani
Comment by fahad on November 22, 2010 at 12:42pm
unajuwa tatizo watanzania tunashindwa kuelewa hata iwe ya miaka 6 lakini kukumbushana ni kitu kipo na haya mambo bado yanafanyika paka leo kwahiyo muandishi wa habari kutukumbusha inafaa sababu ukimwi hauwezi kwisha sababu bado hatuja tulia bado kwenye ndoa zetu tusipinge ukweli thanks
Comment by issa m moshi on November 22, 2010 at 12:30pm
jamani watu mkitaka kuowa nendeni huko vijijini mtapata wake bora sana hawa wa mijini hawafai kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Comment by Renatus Rwezahura on November 22, 2010 at 12:20pm
Aaaah....!! hii ni ya siku nyingi sana ilishajadiliwa sana.
Comment by Mohammed jegame on November 22, 2010 at 12:11pm
Afrika inaonekana media haijakuwa na utaalam wa kuandika vitu muhimu!Sbb mimi sioni kwanini ziwekwe habari za waliofumaniwa!Sbb wanaofanya ngono niwatu wenye akili zao na hawakulazimishana!na nikosa mwenye mke au mwenye mume kumdhuri aliepewa ngono kwa ridhaa!sasa vipi magazeti wanashadilia?Mkeo akitoka nje inamaana amekusaliti achana nae ama mumeo
ama ukipenda endelea naye sasa inafaida gani kumpiga mapanga aliepewa ngono?
Comment by chapombe on November 22, 2010 at 10:42am
aliyepost hii picha ni raia wa kenya


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
4 minutes ago
GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
4 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website