NaHemed Kisanda
Nyota chipukizi katika Kiwanda cha Filamu Bongo, Esther Flavian, amesema ubovu wa filamu unaolalamikiwa hivi sasa na mashabiki wa sanaa hiyo nchini unatokana na tamaa ya waandaji wa ‘muvi’ hizo kutaka kupata ‘mkwanja’ wa haraka haraka.

Akipiga stori na ‘Risasi Over the Weekend’ juzi kati ndani ya mjengo wa My Fair pande za Msasani jijini Dar, nyota huyo wa filamu ya ‘Aunt Suzy’ alifunguka kuwa uwepo wa malalamiko ya mashabiki juu ya kutoeleweka kwa hadithi (Story line) za filamu za Kibongo wanayopata hivi sasa unatokana na utayarishaji wa kukurupuka unaofanywa na waandaaji kwa lengo la kuingiza mkwaja haraka haraka jambo ambalo linafanya kazi hizo kukosa ubora.

“Ni kweli kaka mimi binafsi nimesikia malalamiko mengi yanayotolewa na mashabiki wetu juu ya kutokueleweka kwa hadithi za filamu zetu, lakini ukweli ni kwamba jamaa (waandaaji) wanafanya kazi kwa kukurupuka wakiwa na nia ya kuingiza mkwanja wa haraka hasa katika kipindi hiki ambacho soko liko juu, kwani kuna baadhi ya muvi zinaandaliwa kwa siku saba tu halafu zinaingizwa sokoni, ndiyo maana nyingi zinakuwa hazina ubora unaotakiwa” alisema Esther.

Views: 96

Tags: Bongo, Haraka, filamu, haraka, inaua

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by zainab omary on November 30, 2010 at 2:57pm
filam hazina ubora nani atanunua sokoni, mkiendelea hivyo mtajikuta mnapotea katika fani
Comment by andrew mlenga on November 29, 2010 at 5:42pm
mimi ndio maana huwa siangalii movie za kibongo wababaishaji sana,niliangalia comedy moja ina dakika 20,movie nyingine unaona kabisa imekatwa halafu wanakwambia subiri part 2
Comment by VALLENTINO Rossi on November 29, 2010 at 3:23pm
Hello GPL please allow me more pictures of this girl
thank you
Comment by VALLENTINO Rossi on November 29, 2010 at 3:21pm
Hello GPL my name is Vallentino Rossi'm here in Italy I want pictures of this sister and I want to work with my company making clothes for a proclamation of the sisters as brassière and my other special worn shore so if he was ready please contact her as soon as possible

thank you
Comment by FURAHA TAUSI on November 29, 2010 at 8:35am
HIYO PICHA YA KWANZA KUSEMA KWELI SIJAIPENDA. ILA UMEONGEA POINTI
Comment by Arqam Samir on November 29, 2010 at 8:35am
MIMI SIJAPENDA KABISAAA STAILI YAKO YA KUTUFUNULIA MATITI HAPO UNATUFUNDISHA NINI, AU NDIO BIASHARA MATANGAZO?
Comment by Nico on November 28, 2010 at 8:55pm
Nimeisoma habari hii kwa sababu tu UMEPENDEZA naungana na Bryson.
Uliyosema ni kweli, mimi niko nachukua darasa juu ya films, huwezi amani mambo ambayo yanatakiwa mpaka kukamilisha movie ya dakika kumi tu. Siku saba movie ya masaa mawili au zaidi wapi na wapi?
Comment by BRYSON EDWARD on November 28, 2010 at 12:47pm
Ushauri mzuri.ila umependeza.
Comment by POAz2 on November 28, 2010 at 7:34am
Ahsate dada, Kwanza nimependa style yako ya Kimtedo!! Kisha nakubaliana na wewe kuwa hizi Films za Kibongo Nyingi Pumba hazina ufanisi, hazina mvuto, kila mtu anataka kuwa na Company yake atoe films zake, kila mtu akiigiza films mbili anataka kuwa Director, vifaa vya kurecord havina ubora unaotakiwa, Films nyingi sana sauti zimeingiliana na Musiki wake Msikilizaji hata hasikii vizuri.

Mwisho kabisa kwanini kila filamu iwe na part2 huu pia wizi.
Comment by lion on November 28, 2010 at 6:12am
haya wewe umesema waache watendaji wakusikiii


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
4 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago
kheri zewe commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"minyama uzembe"
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website